Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Vipo vya kudhihaki sio mambo ya Mungu.Lile Dua lake, limemrudia mwenyewe!
Alitumia wadhifa wake katika dini kufanya ushenzi na kujificha nyuma ya jina la Mungu.
Leo kaumbuka na ikawe fundisho kwa wengine wote wa dini zote mfano wake yeye.