Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

Muogopeni Sana Mungu. Huyu sheghe ubwabwa aliwahi kutamka kwamba mwendazake Ni zaidi ya YESU KRISTO.
Ukisha lidhihaki Hilo jina, kaa karibu na kalenda.
Na bado ataporomoka huyu mpaka arekebishe usemi wake.
 
Haji tu kuswali.
Dr mwaka huko anacheza kidekule.
Ataongeza mke wa nne
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…