UTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Baraza la waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka
Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye hataki kuwa mufti wa Tanzania akionya kama kuna watu wanamshambulia wakidhani anataka madaraka hayo.
Pia kumekuwa na taarifa za kutukanisha BAKWATA kwa tabia yake ya kugombana na wanabrog mange kimambi kwa muda mrefu
Nasafi yake inachukuliwa na shekhe Walid Alhad Omar
USSR