Mbezi beach si kuna mtu kachinjwaNdiyo maana helicopter zinazunguka usiku huu au?
Naona kuna doria inaendelea nipo Mbezi naona inapita anga hili mara ya tatu sasa,huyo jamaa alikuwa na nguvu sana inaonekana.
Watakuwa wamedhulumiana au???Mbezi beach si kna mtu kachinjwa
Kichwa kiwiliwili huko
Lazima forward lipite leo
Ova
Mufti kafanya maamuzi sahihi.
kiongozi wa dini ni kioo cha maadili na nidhamu ya kiwango cha juu kwa waamini wake na hata jamii kwa ujumla.
Pongezi kwa shek wa mkoa mpya aliye teuliwa.
Mkuu hebu ongeza nyama, nini kimetokea.Mbezi beach si kna mtu kachinjwa
Kichwa kiwiliwili huko
Lazima forward lipite leo
Ova
Ni socialite to be precise. Yeye na kina Kajala wanatofautiana jinsia tu.Hakuna Sheikh hapa! Huyu ni celebrity.
Hayo m'a file yote ya niniHuyu hapa USSR View attachment 2504082
5. Mzee Yusuf. mpiga taarabu.Cc:
1. "Dr." Mwaka.
2. Mange Kimambi.
3. Haji Manara.
4. Diamond
NADHANI SASA ATAGOMBEA UBUNGEUTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Baraza la waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk juma mwaka
Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye hataki kuwa mufti wa Tanzania akionya kama kuna watu wanamshambulia wakidhani anataka madaraka hayo.
Pia kumekuwa na taarifa za kutukanisha BAKWATA kwa tabia yake ya kugombana na wanabrog mange kimambi kwa muda mrefu
Nasafi yake inachukuliwa na shekhe Walid Alhad Omar
USSR
View attachment 2504080
View attachment 2504211
Mnafaidika nini kushangilia anguko la mwenzenu?
UTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Baraza la waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka
Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye hataki kuwa mufti wa Tanzania akionya kama kuna watu wanamshambulia wakidhani anataka madaraka hayo.
Pia kumekuwa na taarifa za kutukanisha BAKWATA kwa tabia yake ya kugombana na wanabrog mange kimambi kwa muda mrefu
Nasafi yake inachukuliwa na shekhe Walid Alhad Omar
USSR
Msaga...Upande atakapokuwa mzee wangu Mohamed Said ndio utakaokuwa sahihi, hiyo nafasi apewe sheikh Ponda sasa