Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.

Shukran na umesomeka vya kutosha Mkuu Chamviga!

Tupamoja Maalim wangu!

Ahsanta sana.
 
Nyerere was smart... Aliwazuga wazenji, leo hii Lissu anaonekana mkombozi wa wazenji
 
Mass treatment: This can be dose and it reduces the parasite rate considerably even in people treated with more deleyed adminstration than the weeky one. In semi immune patients, the drug is active also at a lower dosage. Teh teh teh
teh teh..hili yai lako bhana..sijui upo busy na mare au mavi makavu ya mbwa najua dar hakuna ngamia..unakata gomba jangwani....unaokota jiwe ktk giza kumbe mavi ya mbwa......kweli hiyo ni sunnah.Ukimaliza urudi andika tena ..yai linaweza kuwa safi...?
 
Nyerere was smart... Aliwazuga wazenji, leo hii Lissu anaonekana mkombozi wa wazenji
Haha..alikuwa smart..km aliwapiga changa la macho wapenda bwabwa..wakampa masharti ...akapiga akili akaona hawezi wajengea shule ila anaweza pora kwa Wakristu anajua hawatamchinja wala mpiga mabomu....km bakwata wanavyolipuliwa na akina ponda......Nyerere alijua hata akipora shule ,hawa jamaa hawataki shule ila ni tabia zao z akutaka dai kila kitu..akachukua nchi..akachukua shule..leo .bado akina Ritz..wapo haa wanaongelea mfumo kristu..hawajiulizi km Nyerere aakutaifisha..sijui Ritz km angekuwa hai au kawahi Gnsters paradise...a.k.a danguro akapate uroda 24/7
 

I can't take you seriously if your grammar/syntax isn't perfect....with loads of unnecessary typographical errors!

Poor you!

Ahsanta.
 

I've just read your another waste, and I feel sick already! Daah!

Lunatics like you Nicholas can never truly make any compelling arguments at this thread!

All of your shit posts/comments makes me cringe!

You better fvck off!

Ahsanta.
 

We mlevi!
Usiropoke hovyo humu ukidhani tumo ndani ya vile vilabu vyenu vya gongo za moshi!

Akili yako na ya huyo kiongozi wa chama chako hazipishani sana!

Watu hudandia magari! We unafandia midahalo usioweza kuijadili!
Nyie ndio wale mnaoolewa na ndoa za mikeka!
Umekuja mjini juzi kutoka urru!
Una mdomo mreefu hali ya kuwa bado ni fundi viatu!
We siku ukipata kazi ya maana utanyea wachaga wenzako kichwani!
 
Mkuu Ntuzu,

Nimekusoma Kamanda,walaa haina shida!

Nafikiri labda Mkuu Wabara alikua tu ajaribu kukufurahisha weye nduguye...maana hajakuona kitambo!? Teeh! Teeh! Teeh!

Tuko pamoja!

Ahsanta.


Ni kweli Mkuu! Imekua kitambo Kidogo

Tuko Pamoja Mkuu!
 
Sasa unabisha nini? Si unakubali kuwa jk mkubwa alikua na hila? Na lissu na zaidi wamekubali?
Hivi wewe kwa akili yako unadhani mimi nipo hapa kwa ajili ya kubishana, labda nianze kukuambia ushenzi wa Nyerere tofauti na huyo Lissu, watu wameandika kitabu kizima wakielezea ushenzi wake na wakampa akisome hicho kitabu.
 
Drug Interactions.

Uwa najiuliza sana sijui Chadema walikupa vipi uongozi wa chama au sababu ni mchaga.
 

Weye Kunguru wa maziwa muoga sa ndo majiutumbo gani meandika...!?

Wajumbe wamekutakeni leteni andiko japo kurasa 21 za kupinga upotoshaji, hamjaeza fanza hayo, badali yake mwaleta maneno ya mbegeni.

Kama rahisi kupata promo weye Nguruwe mwitu na wanzio kwanini kutotoa hata makala katika yale magazeti yenyu na kumpinga Mohamed Said...!?

Msitukatie viuno hapa, let's data/truth speak.

Narejea.
 
Last edited by a moderator:
Wakifika Huku wanaufyata!

Leo hii Cdm na Tundu Lissu wamekua ndio wakombozi Wa Z'bar
Teh teh teh ndiyo maana nakuambia kwenye hii mijadala wewe mgeni nakushauri rudi Chit-Chat kuna mtu wa kufyata humu.
 
Last edited by a moderator:
Hakika ya vitu vitatu haviwezi fichika milele hata ka ukafanya jitihada kiasi gani, 1- ukweli 2- jua 3- mwezi. na ukweli utashinda kesho kama leo haukutosha.
 
Khe Khe Khe Khe

Lissu mkombozi wenu! Nyie mnaufya kisema Jusa!
Kumbe humjui Ritz teh teh teh teh, karibu sana.

Sijui kama unajua wakazi wote wa ukanda wa Pwani ni ndugu toka Nyerere ajazaliwa.

Yaani wewe utoke kibosho na Chadema yenu uje kuwa mkombozi wa watu ukanda wa Pwani, kwanza Lissu aliishasema Chadema hawaiitaji na Zanzibar siyo nchi ni kama jimbo tu.
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh
Mohamed Said anaendelea/ataendelea kupasua anga na nyie wapakwa mafuta/wakata "mabuno" mtajikuta mnaachwa nyuma kwakuendelea kumfanyia ushushu.

Wa mbili haivai moja wewe!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh
Mohamed Said anaendelea/ataendelea kupasua anga na nyie wapakwa mafuta/wakata "mabuno" mtajikuta mnaachwa nyuma kwakuendelea kumfanyia ushushu.

Wa mbili haivai moja wewe!

Mkuu Tayeb, nakuamkua nduu langu,

Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh,
Nalikuwa nkipita nkaona maneno yako yalo nona bashasha,

Kweli alozoeya Punda katu hapandi Farasi.

Hawakudhani kama itawadhihirikia moya siku katika bayana alozieka alhabeeb gwiji la Historia Mohamed Said.

Watu wana vifaa vya kutosha na hakika ziso nakiswa, hawajifaha vipi watamfahamu...!?

Ntarejea.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…