Bado hujathibitisha kauli yako kuwa wewe unaandika ya ukweli.
Hapa naona unamwaga pumba tu, usijiaibishe kama alivyojiaibisha jamaa yako
Yericko Nyerere alipojidai yeye baba'ke mzazi ni Nyerere. Sasa wewe unaleta pumba za uandishi unapoambiwa weka ushahidi, unaleta pumba.
Huna lolote zaidi ya ufataani.
Jana bungeni Mbunge wa upinzani anaitwa Machali kakionesha kitabu cha Ghassany kama ndio reference yake na juu huko nimekubandikia kina uhusiano upi na
Mohamed Said.
Wewe nawenzako si mlijidai mtaandika sijui pamoja sijui kila mtu kivyake kitabu cha kupingamaandiko ya
Mohamed Said! Vipi mpaka leo bado tu, siku zimepita, miezi imepita, miaka sasa inakatika. Kulikoni? mlifikiri kuandika ni rahisi?
Unafikiri kutunga hadithi za uongo ndio kuandika kitabu kinachokaa kwenye maktaba za vyuo vikuu na sehemu zinazoheshimika duniani? Mawee!
Huna lolote zaidi ya porojo na ufataani tu.