Makunduchi
Member
- Feb 2, 2014
- 71
- 13
Wewe kauzu kweli hivi kuna mtu kaletwa JF na Mohamed Said? kila mtu kajiunga JF kimpango wake wewe umeletwa JF na nani Mbowe au Lema?
Sisi wengine wala huyo Mohamed Said hatujawahi kuonana nae.
Karibu sana mlango upo wazi.
Sikujua unasoma kule. Hewala ndugu yangu. Hakuna lalam.Wewe kujifungia kule kwenye jukwaa lako unaandika uharo unataka kujifananisha na Mohamed Said, ha ha ha ha.
Huwa nacheka sana mpo watatu mnajiuliza maswali kisha mnajijibu wenyewe.
Mnakubaliana kila uharo.
Huna lolote Maneno matupu bila hoja kakojoe ulale...
Nitakuwa muongo zaidi ya ule wa Ibadan?
Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema Nyerere kaja Dar 1950? Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema Abdul hakumjua Nyerere hadi 1964. Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyeleta takwimu za Daily news kama ushahidi?
Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema research ya uongo?
Nitakuwa muongo zaidi ya yule aliyesema balozi kahutubia bunge?
Sidhani!
Ndiyo Ilm mliyofyonza kwa MS? Tafadhali usimdhalilishe huyu Mzee, ni mtu ana familia na heshima zake.Huna lolote Maneno matupu bila hoja kakojoe ulale...
Kama ni mzandiki na muongo mwenyezi atunusuru mimi na wewe. Pia usisahau kumnasihi MS aache kuzunguka duniani akieneza fitna. Fitna imesemwa sana katika vitabu, ni kweli ama nimekosea.Wacha pumba, Lissu alivyosema hakuna hati ya Muungao Ikulu wakaitoa kukata mzizi wa futna, wewe unaejidai una maandiko ya ukweli, weka reference hapa tuone:
Tuoneshe japo moja uliloandika likachapishwa, tupe reference.
Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo, mzandik, mnafik, fataani.
Hewala, kidedea kwa wengine. Wenye vichwa vyao watawasoma wote wawili na kupata tafakur zao. Ni hatari kubwa kumeza shekh. Hata ming'oko lazima uangalie na kuisafisha.I mean
we are dangerous..
kama unabisha nenda kamuulize tundu lisu ile jeuri na ngebe ya kusimama na kumchamba nyerere kias kile wapi kautoa ule ujasiri...
ukweli haupendi kupindishwa pindishwa na kubezwa bezwa,
atlast moh said mzee wa gerezani kaibuka kidedea...
:israel:
Kama unajua hivyo unavyokuja na maneno ya kipunguani kuwa eti Mohamed Said aje hawakataze watu humu ili akufurahishe wewe nani humu aliyekuambia yupo chini ya Mohamed Said.Hotuba ya Tundu Lissu alioitoa bungeni Jana ndio imenileta hapa! Na Wewe umekuja hapa kwa sababu gani?
Kama unajua hivyo unavyokuja na maneno ya kipunguani kuwa eti Mohamed Said aje hawakataze watu humu ili akufurahishe wewe nani humu aliyekuambia yupo chini ya Mohamed Said.
Kama ni mzandiki na muongo mwenyezi atunusuru mimi na wewe. Pia usisahau kumnasihi MS aache kuzunguka duniani akieneza fitna. Fitna imesemwa sana katika vitabu, ni kweli ama nimekosea.
Vipi hapo kariakoo kasheshe ya maji ilikuwaje. Mvua za mwaka huu dhiki tupu.
Yote heri
Wajulie hali hapo Lumumba.
Ahsante
Ndiyo Ilm mliyofyonza kwa MS? Tafadhali usimdhalilishe huyu Mzee, ni mtu ana familia na heshima zake.
Watu watakapobaini ninyi ndio wanafunzi wake, lah sijui watamwangalia vipi mzee wa watu.
Ukiongea bila kuleta lugha chafu unaeleweka na ndio uungwana.
Kwa lugha hiyo utaweza kumlingania nani? Chonde chonde walioko pembeni wanajiuliza, hivi ndivyo walivyo? Masikini kumbe sivyo ni wanafunzi wachache wa MS.
Inshallah nawe pia wasalimie hapo nyumbani. Mimi nakuombea kwa mwenyezi akpe kauli njema ili siku moja uwe mafao kwa jamii. Aiwekee ndimi yako kauli thabiti na hakika uwe miongoni mwa wema
Wewe kweli punguani sisi hapa hatupo kumtetea Mohamed Said, tupo hapa kutetea maandishi yetu ambao tuliandika sana kuhusu Nyerere.Ni vema kumuita aje awatulize! Kwani nyie hapa mnamtetea nani Kama sio huyo Mzee Ms? Namna mnavyomtetea kwa lugha chafu ndio ustaraabu Wa madrasa huo? Na Kwanini Mzee Ms asije kuweka Hali ya mjadala ukawa Wa lugha nzuri Kama kweli mnapenda ustaraabu? Kwa jinsi mnavyotoa lugha mbovu ni kwamba mna mdharirisha tu huyo Mzee wenu Ms!
Kama ni mzandiki na muongo mwenyezi atunusuru mimi na wewe. Pia usisahau kumnasihi MS aache kuzunguka duniani akieneza fitna. Fitna imesemwa sana katika vitabu, ni kweli ama nimekosea.
Vipi hapo kariakoo kasheshe ya maji ilikuwaje. Mvua za mwaka huu dhiki tupu.
Yote heri
Wajulie hali hapo Lumumba.
Ahsante
Hakuna lugha mbaya hapa unajibiwa jinsi utakavyokuja ukija kiungwana utapokelewa utapewa na faluda ukija kifedhuri utapokelewa pia ndiyo utaratibu wetu.Mkuu Nguruvi3 hapa hakuna la Maana! Huyo anaetetewa na Hawa wateteaji Hawa lolote!
Wangekua wanajadili Huku hisia zao za udini zikiwa kando Nafikiri Karibu Watu wengi wangejumuika nasi! Lakini Watu wameogopa kutokana na Hawa wanaojiita wana madrasa kutoa lugha zao mbaya!
Kama ni mzandiki na muongo mwenyezi atunusuru mimi na wewe. Pia usisahau kumnasihi MS aache kuzunguka duniani akieneza fitna. Fitna imesemwa sana katika vitabu, ni kweli ama nimekosea.
Vipi hapo kariakoo kasheshe ya maji ilikuwaje. Mvua za mwaka huu dhiki tupu.
Yote heri
Wajulie hali hapo Lumumba.
Ahsante
Unataka kuniambia Nguruvi3 kuandika kote hana kitabu chochote hata kwenye maktaba, maandishi yake yapo JF halafu hakuna anayemjua.Bado hujathibitisha kauli yako kuwa wewe unaandika ya ukweli.
Hapa naona unamwaga pumba tu, usijiaibishe kama alivyojiaibisha jamaa yako Yericko Nyerere alipojidai yeye baba'ke mzazi ni Nyerere. Sasa wewe unaleta pumba za uandishi unapoambiwa weka ushahidi, unaleta pumba.
Huna lolote zaidi ya ufataani.
Jana bungeni Mbunge wa upinzani anaitwa Machali kakionesha kitabu cha Ghassany kama ndio reference yake na juu huko nimekubandikia kina uhusiano upi na Mohamed Said.
Wewe nawenzako si mlijidai mtaandika sijui pamoja sijui kila mtu kivyake kitabu cha kupingamaandiko ya Mohamed Said! Vipi mpaka leo bado tu, siku zimepita, miezi imepita, miaka sasa inakatika. Kulikoni? mlifikiri kuandika ni rahisi?
Unafikiri kutunga hadithi za uongo ndio kuandika kitabu kinachokaa kwenye maktaba za vyuo vikuu na sehemu zinazoheshimika duniani? Mawee!
Huna lolote zaidi ya porojo na ufataani tu.
Bado hujathibitisha kauli yako kuwa wewe unaandika ya ukweli.

Wewe kweli punguani sisi hapa hatupo kumtetea Mohamed Said, tupo hapa kutetea maandishi yetu ambao tuliandika sana kuhusu Nyerere.
Inawezekana wewe mgeni kwenye hii mijadala yetu fuatilia ujue tulianzia wapi.
Sisi leo tunawauliza alichosema Tundu Lissu mnakikubali kuhusu Nyerere wanasema wamekikubali sasa mbona sisi tumeyasema hayo maneno muda mrefu mkatuita wadini.
Halafu siyo kudharirisha ni kudhalilisha.
Hakuna lugha mbaya hapa unajibiwa jinsi utakavyokuja ukija kiungwana utapokelewa utapewa na faluda ukija kifedhuri utapokelewa pia ndiyo utaratibu wetu.
Hakuna lugha mbaya hapa unajibiwa jinsi utakavyokuja ukija kiungwana utapokelewa utapewa na faluda ukija kifedhuri utapokelewa pia ndiyo utaratibu wetu.