Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.

Laabda ndio wanachokiweza hicho hadithi za kitoto, lakini huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji na Nguruvi3 na Mag3 na Jamaa zao akina Yericko Nyerere wakusanyike wote, hawana uwezo wa kuandika kitabu cha usomi hususan cha Historia kikawekwa maktaba za vyuo vikuu mbali mbali duniani, labda wamuombe Mohamed Said awasaidie.
 

Tunaomba tuwekee huo ushahidi wa "lugha mbaya", kama hujauweka basi wewe ni muongo.
 
nikupa mfano wa soka ili kuwasaidia vilaza nyie..km ni magoli si yamepigwa sana tangu soka likiwa haina hata sheria...na hata uswazi magoli yanafungwa kila kukicha ila akina Messi na Ronaldo wanakuwa bora kwa kufunga magoli na si lazima yazidi wafungaji duniani kote....mohamed Said hana tofauti na vichaa wengine wa kiswahili wanaolalama na kueleze shida kwa kila mtu na kulaumu kila aliyefanikiwa...MS hapa si tulimtoa nishai hakuthibisha chochote zaidi yenu kumsifia ,kupiga kelele sijui ni mjuzi, sijui ni mjuaji,sijui aliongea nao live..etc...Yeye alibase ktk uislam kuleta uhuru,sijui mfumo Kristu etc...Alichoongea Lissue hakifanani na huo ushenzi, ni matukio fulani fulani ambayo kwa ujumla unaweza dhani yalikuwa ktk maandikoya huyo mohamed Sad mdini na mpika data. The was and si still too general to be considered he knows anything.....hata Al-kitabu inapiga kelele sijui kujua utengezwaji wa Mvua..ila ilikuwa too general km common man in the street..ila Biblia inaelezea hadi idea ya evaporation kuoneka...,hilo ni wazi kuwa Mwandishi wa Bible alikuwa kifahamu hadi principal si generality tuu.MS hakuzidi commom sense na fikra za kusadikika..LIssue katoa Evidence ambzo kitabu cha MS ni km magazeti ya shigongo.....mohamed hata vikao hakuwa akijua,wala wapi uhalali wa muungano ulipotea,hakujua hata kuwa kuna watu waliuwawa, hakujua km leo CCM ya kiislam ndio inalilia serikali 2 ,na hata akina Lipumba ndicho wanafanya...sasa Mfumo Kristu unakujaje hapa?
 
Umbea na magamba ni sehemu ya kawaida....WENZIO NAO WAPO BUSY VIJIWENI NA BUNGE HADI IKULU..ETI SERIKALI YA 3 INAELEALEA TUU ANGANI HAINA MASHIKO........na wewe kila mtu unamwita shoga kienyeji tuu kwa vile kwenu na ushoga ndio furaha yenu,kwa mizaha na matendo......
 
Last edited by a moderator:
Mass treatment:

This can be dose and it reduces the parasite rate considerably even in people treated with more deleyed adminstration than the weeky one.

In semi immune patients, the drug is active also at a lower dosage.

Teh teh teh
 

Mkuu Wabara,

Alayka Salaam Warhamatullaah Wabarakaatuh!

Nimekusoma na kukufahamu kiundani ndugu yangu....japo imenilazim kucheka kiduchu! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Huyo Mchungaji Ntuzu nakhis labda hishma na staha tumpazo ni nyingi mno!?...lakini haina neno!

Ahsanta.
 
CC: Makunduchi
 
Last edited by a moderator:
utasemaje mkulima wa tractor kaiga kwa mkulima wa jembe la mkono just because lengo ni kilimo na watu wamekuwa akilima tangu enzi na enzi...sasa km kakopi na kupaste kwanini tena akaja na vitu bora na vyenye uzito kuliko huyo mdini ms?MS si alikuwa ktk mfumo Kristu na Ukombozi uioletwa na waislam..?
 
Kwa hiyo unakubaliana na lissu sio?

My understanding... Zaidi ni malicious extremist mdini ndio maana kila asemacho hakipendezi kwa baadhi ya watu.... Lissu ni extremist wa anti government anti ccm hata iweje

Wote ni divisive tu
 
Last edited by a moderator:
mbona nyie mnalala na paka, na matunguli.....huo ni mdomo au ni kizalio kilichowekewa mayonnaise...?
 
Kwa hiyo unakubaliana na lissu sio?

My understanding... Zaidi ni malicious extremist mdini ndio maana kila asemacho hakipendezi kwa baadhi ya watu.... Lissu ni extremist wa anti government anti ccm hata iweje

Wote ni divisive tu
Nani kakwambia nakubaliana na Lissu?

Au umekurupuka kujibu post yangu tu.

Kilaza Lissu ana jipya alilosema hayo yote sisi tunayasema kila siku humu JF.

Upoo!
 



Mkuu gombesugu ndugu wabara asitufitinishe Mkuu!

Km heshima Mbona ata Mimi natoa kwa kila mjumbe humu Jf?

Au kufurahi Mkuu imekua tatizo Mkuu!?

Mimi Ktk mada hii ni msomaji tu na siko upande wowote!

Anyway! wabara ni ndugu yng MSABATO mwenzangu! Teh Teh Teh Teh Teh!
 
Last edited by a moderator:
Nani kakwambia nakubaliana na Lissu?

Au umekurupuka kujibu post yangu tu.

Kilaza Lissu ana jipya alilosema hayo yote sisi tunayasema kila siku humu JF.

Upoo!

lissu na saidi lao moja... kukubaliana na mmoja ni sawa na mwingine... hongera kwa kukubaliana na Lissu
 


Mkuu Ntuzu,

Nimekusoma Kamanda,walaa haina shida!

Nafikiri labda Mkuu Wabara alikua tu ajaribu kukufurahisha weye nduguye...maana hajakuona kitambo!? Teeh! Teeh! Teeh!

Tuko pamoja!

Ahsanta.
 
Kumbe kuna watu hawali nguruwe kwa vile wana mengi wanafanana na nguruwe....kweli wanastahili kutokula ndugu zao....Ulimweng u upi anajulikana huyo chura..wale waswahili waliokuwa akiumia BBC idhaa ya kiswahili kukaribsha wachambuzi wa kiswahili na kuwaita sijui nani mchambuzi mahiri wa UDSM kumbe ni mdini mwingine Haroub othman, halafu mwandishi maarufu ....MS aliyempropose ni Hariub othmana liyejitahidi sana kitabu kiingie Library ya UDSM...bongo hakuna mwandishi maarufu zaidi ya shabaani Robert, na mwandishi wa mercury...km kuna mzungu aliyemsoma kwa upatu wa waislam km akina Nkamia kule BBC,na akina Haroub othman..waliokitumia walikuwa wakipima km kiwango cha waandishi kinapa au kushuka..na mitazamo yao ina base ktk nini.....yaani uandishi wake ndio unaangaliwa kuliko contents..kwani ni rubbish na inahitaji msaada...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…