FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unataka kuniambia Nguruvi3 kuandika kote hana kitabu chochote hata kwenye maktaba, maandishi yake yapo JF halafu hakuna anayemjua.
Lakini Mwanakijiji yeye anacho kitabu cha mapenzi anakiuza pale Mlimani City kinaitwa Majeruhi wa Mapenzi.
Anakiuza 14.000
Teh teh teh
Laabda ndio wanachokiweza hicho hadithi za kitoto, lakini huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji na Nguruvi3 na Mag3 na Jamaa zao akina Yericko Nyerere wakusanyike wote, hawana uwezo wa kuandika kitabu cha usomi hususan cha Historia kikawekwa maktaba za vyuo vikuu mbali mbali duniani, labda wamuombe Mohamed Said awasaidie.