Sauti ya upolee... macho yenye kungwi! Ila wasisahau remote ipo Msoga, wakizengua fasta Segerea 9 tena! Kutoka ni 2021+9= 2030!Akili yao imekuwa sawa kwa mafunzo ya miaka 9 ule upuuzi waliokuwa wakiuhubiri kwa sasa hakuna atakayethubutu hapo walipo hata wakiwa wamekaa wakasikia salamu ya Mama nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania wanaweza kusimama kwa ukakamavu maana wanaijua jamhuri sasa ni nini
Kilichowapeleka mahabusu sio ugaidi ila ni muungano.Ukiigusa tu Muungano aiseee huwezi baki salama.Sijui Kuna Siri gani kwenye MuunganoEbaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Ni hatari mno kuipigania Zanzibar kwa kutaka kuvunja Muungano.Masheikh wana experienceDetective,
Hilo la kupoteza maisha ni sehemu ya historia ya matatizo yaliyoko Zanzibar.
Wazanzibari wengi wamepoteza maisha katika kupigania nchi yao.
walitakuwa kufia gwrwzaniNa ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Naona kifinyo kimewapata vizuri, mnaleta chokochoko za machafuko halafu mnataka kuchekewaSheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka.
Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna watu wale wasiojulikana, kama wanataka kuharibu kitu au ku-create kitu basi hutengeneza sababu ambayo itatupa sisi dhima kwa hiyo tuwe wavumilivu.
Furaha itoshe tumetoka, tuko huru na tusubiri tutakaporuhusiwa kufanya mijumuiko tutafanya, tukiambiwa hapana basi tusishindane na mwenye nguvu.
Sheria ilivunjwa kwa wao kuletwa kushitakiwa kwenye mahakama za Bara kwa makosa ambayo yanatakiwa kusikilizwa kwenye mahakama sa Zanzibar.Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Wale bila kushikishwa adabu hali ingekuwa mbayaNa ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Wale jamaa walikuwa wanachezea mbupu za sirikali, sasa wameshapata somo la kutosha.Serikali ya Tz imeshughulikia ugaidi wa Sheikh Farid na wenzie kwa namna bora kabisa. Usitafute ushahidi kama wanavyoatoa ushahidi wa kesi za ufisadi. Nakumbuka siku ya kwanza baada ya ule mhadhara kulitokea maandamano kwenda kituo cha polisi Madema, kisha kanisa la TAG kariakoo likachomwa moto.
Mapadri walipigwa risasi akiwemo Padri Evaristi, Watalii walimwagiwa tindikali, Wageni walichapwa viboko kwa kuvaa nguo fupi. Kama Serikali isingechukua hatua sitahiki pengine ZNZ ingegeuka kuwa Mogadishu au Kismayu au Syria.
Marekani kupitia jarida la Chuo Cha Ulinzi liliitaja UAMSHO kama kundi la ugaidi na viingozi wake waandamizi walipewa mafunzo Kandahar.
Tuamini ilichofanya Serikali kwa kuwa ni kwa masilahi mapana ya nchi yetu, wewe mwenyewe Mohamed Said na Mimi. Jiulize kwa nini wasikushike wewe binafsi na wakamshika Sheikh Farid na Sheik Mselem.
Naamini siyo kila taarifa ya Serikali na kwa ajili ya umma wote wa Watanzania, zingine ni kwa matumizi ya vyombo vya dola tu.
Walipotakiwa mashahidi juu ya kesi zao kwanini hukujitokeza kwenda kuthibitisha uliyo na hakika nayo, kule kibiti walikufa watu mwendazake akasema ni uamsho waliojela miaka 8 iliyopita, wapi na wapi, nyinyi ndio wale ccm mliokuwa na chuki na roho mbaya ambao sasa hamna nafasi tena,Na ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Waambie warudie 🤣Walipotakiwa mashahidi juu ya kesi zao kwanini hukujitokeza kwenda kuthibitisha uliyo na hakika nayo, kule kibiti walikufa watu mwendazake akasema ni uamsho waliojela miaka 8 iliyopita, wapi na wapi, nyinyi ndio wale ccm mliokuwa na chuki na roho mbaya ambao sasa hamna nafasi tena,
mtabaki na mafundo katika roho zenu chini ya mama samia jemedari wa kweli mumekwisha kabisa otherwise munywe sumu muungane na jamaa., JK pia kaumia, Seif Iddi, Shein wote hao mumeumia, yenu hayakutimia jamaa wako huru mtaani wanakula kuku, shwayn..
Warudie nini? kuwa wazi mana kule mahakamani miaka 9 hawakutiwa hatianiWaambie warudie 🤣
Hiyo miaka 9 ndio adhabu yenyewe 🤣Warudie nini? kuwa wazi mana kule mahakamani miaka 9 hawakutiwa hatiani
Hiyo miaka 9 ndio adhabu yenyewe 🤣
Utawala tu ulikuwa wa chuki double standard.,Hiyo miaka 9 ndio adhabu yenyewe 🤣
Hakuna mtawala anayependa kuongoza nchi yenye matukio, migogoro na vurugu kila kukicha.Utawala tu ulikuwa wa chuki double standard.,
Sasa mnapata tabu sana viongozi waliokuwa na chuki na kubambikizia watu makesi na matatizo mbambali zama zao zimeisha, mlikuwa mnateka watu, mnaua watu, mnapoteza watu na kuseka watua jela nk na sasa mnajaribu kutaka kurudisha chuki kwa mama samia aongoze kama mwendazake mmedunda., samia ni muislamu na ana damu ya kibinadamu anajuwa uongozi ni dhamana siku utamtoka.Hakuna mtawala anayependa kuongoza nchi yenye matukio, migogoro na vurugu kila kukicha.
Sasa hivi yupo, Samia waambie waanze mihadhara ya aina ile ile halafu ndio utajua Dola ndio shetani mwenyewe.
Wa Zanzibar ndiyo wana njaa wana kula vyakula vya ajabu ajabu tumatatizo ya watanganyika most of them niwajinga tu hata ukimsikiya mtu ni profesa basi ujuwe hio shahada ni feki amepewa tu na kanisa ili waongeze idadi ya wenye shahada watanganyika kwa ujinga wao wanakufa kwa njaa na wakati wamejaaliwa rasilimali zakutosha na zaidi lakini kwa vile ni paketi tupu wanakufa na njaa akili zao zimechanganika na mavi. ivi kwa akili zako za mavi kama hawa masheikh wamefanya fujo na wameuwa padri si wengepelekwa mahakani wakafungwa maisha au ccm wanahuruma sana lakini huruma zao hawakumfanyia tundu lisu au vipi teja
Hujawahi kukaa ndani....kaa kimya.Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.
Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.
Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Asilimia 80 ya wzanzibari hawautaki muungano huu.Hujui kitu, wewe ni mmoja kati ya lile kundi lililoshibishwa mahubiri ya hao jamaa ambao mlikuwa mnapokea mafundisho toka kwa walimu wajinga, unamuita mwenzio mzembe aliekuwa frontline wakati wewe hata hujulikani ulipokuwa.
Nyie mlikuwa mnapigana vita ambayo hata hamkumjua adui yenu ni nani, badala ya kuelekeza mashambulizi yenu panapostahili, mkayaelekeza kwa wengine ambao kimsingi hawahusiki.
Hivi mnaposema "Zanzibar yenu" mnakuwa mnakumbuka hiyo Zanzibar ina mchanganyiko wa makundi ya watu wenye imani tofauti? au mnataka hao wengine waondoke Zanzibar mbaki peke yenu?
Rudi kawaulize walimu wako hayo maswali wakikujibu ndio urudi hapa na hizi story zako zisizoeleweka, ile Zanzibar sio yenu peke yenu, ni ya wote, huu ubinafsi wenu ndio unawaletea shida halafu mnalia mnaonewa.