Hayo ni ya kwake yeye Mselem. Hatujui kama Shehe Faridi na wenzake wanaamini ni makosa kudai kuvunja Muungano.
Shehe Mselem magerezani amevurugwa psychologically, to say the least.
I mean, sikutegemea Shehe Mselem
atangaze kesho baada ya kuswali Ijumaa tutaanza matembezi huru kuanzia Msikiti wa Mtambani kuelekea msituni.
Lakini pia sikutegemea mwanaharakati aseme furaha ya kuachiwa inanitosha, usishindane na mwenye nguvu, serikali iikishasema hapana basi hapana, itoshe kusema furaha ya uhuru inatosha.
Hell no. Itoshe wewe KUKAA KIMYA!
Shehe Mselem anaingia kwenye vitabu vya rekodi za dunia vya Guiness. Mfungwa wa kwanza wa kisiasa aliyetoka jela la kusema nasalimu amri.
Afrika, the third world, tuna bahati mbaya sana. Hata wapigania haki wetu nao ni third rate, uchwara mtupu.