Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Anzisha wewe hizo harakati upokee kijiti cha kukaa gerezani angalau miaka 4 na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Anzisha wewe hizo harakati upokee kijiti cha kukaa gerezani angalau miaka 4 na nusu
Si wametoka? Ngoja tusikie tena makanisa yamechomwa moto au waumini au viongozi wa dini zingine wameuwawa uone. Safari hiyo, hawarudi!!!
Osama ni different entity different case.Osama alikufa lakini ugaidi bado, unataka kutwambia nini hasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hako kajamaa ni kajinga mkuu kamejaa coran kichwaniKati yako wewe na yeye nani anaejua zaidi? Yeye na wenzie ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania wanachokijua huku wameshikana mikono, unaweza vipi kumpinga mwalimu wako wewe shabiki tu.
Yaliyomfika huko alikokuwa kwa miaka tisa yamemfunza asirudie kushindana na mwenye nguvu zaidi yake, kama kuipigania "Zanzibar yao" hiyo Zanzibar yao walipewa na nani? au waliinunua wapi? na kwanini wao kuipigania "Zanzibar yao" kusababishe waumie wengine ambao hawahusiki?
Ile Zanzibar ninayoijua mimi ni ya wote, hakuna mwenye Zanzibar yake pale, ule waliofanya ulikuwa ni ulevi tu wa ubinafsi na mihemko uliowasababishia matatizo, sasa mwenzako anakiri alikosea, wewe bado unataka umrudishe alikotoka wakati akiteseka kule wewe ulikuwa nyumbani na familia yako unakunywa chai na vitumbua.
Ushoga kwa sasa upo zaidi muongoni mwa Waislam duniani.Leo Kanisa limegubikwa na tatizo la ushoga.
Hatuwezi kusema kuwa haya ni mafunzo ya Yesu Kristo.
Halikadhalika tunalo tatizo kubwa la ugaidi hatuwezi kusema hayo ni mafunzo ya masheikh.
Sio ulaya tu. Imamu Daaiye Abdullah wa Marekani na Nur Warsame wa Canada ni Maimamu waliojitangaza rasmi kuwa ni Mashoga, pia ni Maimamu wenye waumini wengi sana huko USA na Canada.Maabara,
Niko katika utafiti unaweza kunipatia ushahidi wa hili?
Ulaya zinafungwa ndoa kanisani.
Ningependa kujua kwa nini haya yanaruhusiwa.
Afrika ushoga ni jambo baya sana watu wanajificha Ulaya ni kitu cha kawaida.
Hawa ni matawi ya movements zenye kufanana na alichokifanya Osama. Hawa wanakwenda kinyume na utawala wa secularism kwa maana ya mchanganyiko wa ukristo na uislam, wanakwenda kinyume na magharibi na kila chenye kuihusu.Osama ni different entity different case.
+ yeye alikuwa ana succession plan? hawa walikuwa nayo au walianzisha harakati juu juu?
Mie nawaasa washukuru walinaswa wakati waJK wenzao waliotuhumiwa enzo za JPM hawapo tena na hata unywele haukuonekanaAkili yao imekuwa sawa kwa mafunzo ya miaka 9 ule upuuzi waliokuwa wakiuhubiri kwa sasa hakuna atakayethubutu hapo walipo hata wakiwa wamekaa wakasikia salamu ya Mama nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania wanaweza kusimama kwa ukakamavu maana wanaijua jamhuri sasa ni nini
Usilolijua ni usiku wa kiza.Msiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
wacha bangi weweMsiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
Unaakili sana mkuu, swali na jibu la papo kwa papoNa ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
wewe teja wacha kuvuta cocaineMlitaka wapewe hukumu ya kifungo ili mpige kelele wanaharakati wamefungwa? Ili muandamane, sasa dawa yao ni kuwaweka mahabusu miaka 9 ili nchi itulie.
Sasa ole wao wabwabwaje tena kuhusu kufukuza watalii wanaovaa kinyume na imani zao kali, kuchoma makanisa na kutishia kuibuka kwa magaidi.
utaifa gani na nchi hii niyakikatolic period.JK ndiye aliyewashughulikia hao jamaa wa misimamo mikali hakuwa Rais mkatoliki.
Mwenye kufikiria kwa kina atajiuliza mengi. Wapo wanaotaka kumtupia jumba bovu hayati JPM wakisahau na yeye alipambana field na akili kama hizo kule Mkuranga na Rufiji.
Kwa Tanzania hii ambayo tumechanganya sana makabila taasisi yoyote yenye nia ovu inajitakia maumivu.
Misingi yetu ya utaifa ni imara sana.
nchi hii toka lini imeendeshwa kwa sheria. ikiwa watu wamechoma makanisa na wameuwa padri na hawakuhumiwa halafu unasema chi hii inasheria huachi mzee bangi kidogo.Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana huyo Mselemu toka Shein yuko madarakani alishaomba msamaha na alikiri kuponzwa na wenzie msamaha umetoka akahubiri amani sasa na sio vurugu hii nchi inaendeshwa kwa sheria na lazima tuheshimu mamlaka.
wapotee tu who careNo room for that jela.
Even if though. una recruit jela halaf unatarajia nn? bora wakae watulie.
Maana serikal inawaangalia hata huko uraiani. wakizungua tena watapotea this time
Kwaiyo hii nchi inaendeshwa na nini? Kikubwa tuheshimu mamlaka zilizopo madarakani.nchi hii toka lini imeendeshwa kwa sheria. ikiwa watu wamechoma makanisa na wameuwa padri na hawakuhumiwa halafu unasema chi hii inasheria huachi mzee bangi kidogo.
Mkuu, Kachome weye uyaone!!wacha bangi wewe
matatizo ya watanganyika most of them niwajinga tu hata ukimsikiya mtu ni profesa basi ujuwe hio shahada ni feki amepewa tu na kanisa ili waongeze idadi ya wenye shahada watanganyika kwa ujinga wao wanakufa kwa njaa na wakati wamejaaliwa rasilimali zakutosha na zaidi lakini kwa vile ni paketi tupu wanakufa na njaa akili zao zimechanganika na mavi. ivi kwa akili zako za mavi kama hawa masheikh wamefanya fujo na wameuwa padri si wengepelekwa mahakani wakafungwa maisha au ccm wanahuruma sana lakini huruma zao hawakumfanyia tundu lisu au vipi tejaSibishi kwamba kilichoshindikana kwa njia ya box la Kura kinawe kuwezekana kwa kutumia hawa watu, ila kwa njia gani ?
Binafsi nadhani ili kuwa na nguvu na kupata sympathy kudai uhuru au chochote kile... kiwe ni cha Wanzibar wote bila kujali imani zao, mwisho wa siku watafanikiwa (ila kwa kutumia aina hii ni kama panya kuchezea sharubu za paka)
Watumie mbinu za kina Ghandi au waliosema Non Violence.., Non Violence We Shall Overcome... (bila hivyo hata kama wenyewe sio wenye fujo ila tunajua kwenye msafara wa mamba pia kuna Kenge...) au kenge watajitokeza na kuleta fujo / machafuko jambo ambalo tutajikuta tunapoteza nguvu kazi za watu kupoteza muda wa maisha yao wakiwa kifungoni...
Yaani miaka kumi ijayo tutakuwa tunazungumza haya haya
HajielewiKwaiyo hii nchi inaendeshwa na nini? Kikubwa tuheshimu mamlaka zilizopo madarakani.
nchi hii inaendeshwa kwa mabavu na amri ya kanisaKwaiyo hii nchi inaendeshwa na nini? Kikubwa tuheshimu mamlaka zilizopo madarakani.