Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Dhambi ya kuua ni MBAYA HAKUNA DINI YOYOTE INAHAMASISHA HIYO DHAMBI HATA KAMA NI KUITETEA DINI YENYEWE MAANA ALIYEIWEKA HIYO DINI NDIO ALIYEWAPA WATU UHAI TUBUNI MTULIE NA FAMILIA ZENU
 
Hao ni magaidi totally bt hekima tu imetumika kuwafutia mashtaka, mnaodai hamna ushahidi tafuteni mahubiri/mawaidha yao, hapo wamekalishwa kitako na kuonywa dhidi ya kutojirudia huo ushenzi wao ndo maana wameachiwa.
Wamehubir nin zaid ya haki usawa mm nina cd za mihadhara zote wametufunua macho sana na elimu kiukwel tumeipata kutambua hak za msingi kabisa wew endelea tu ila muda utaongea hakuna kiongoz yoyote zanzibar mwenye saut kama kama hawa viongoz wa uwamsho wew jitoe faham tu ila iko siko hak itasimama

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa
Wameshanyooka hawaongei kama walivyokuwa wanatishia pale mwanzo hebu wasikilize hapa chini.




Na sasa wanavyoongea kwa busara chezea kukaa ndani wewe ukinyea debe!! 👇

 
Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.

Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.

Muhimu sana ni kuwa wametoka. Wako huru. Ila kama anavyosema, sote tunafuraha kama tunaishi kwa amani.
Miaka 9 kule mahabusu ni kitu kigumu sana.
 
Haujapatikana ushahidi wowote katika suala la ugaidi.

Hadi leo toka sheria kupitishwa hakuna mtu yeyote aliyehukumiwa kwa kosa hili.
Kitu muhimu ni kwamba wamenyooshwa hawaongei kwa kiburi kama walivyokuwa wanatishia dola ya nchi hii sasa wanaongea kwa adabu chezea kukaa Gerezani miaka 9 wewe!!?
 
Hawawezi kufanya hivyo vipi na wale wa kibiti waliokokbilia msumbiji sasa...
Swala la usalama ni la kitaifa na sisi Tanzania tunaliangalia kwa umakini mkubwa..
Cover...
Tatizo la Ugaidi hasa ukiliunganisha na siasa za Zanzibar na siasa za Tanganyika na Waislam wa Tanzania si jepesi kama unavyodhani.

Linataka kwanza ujuzi wa historia ya nchi zote mbili.

Kisha uangalie serikali zote mbili ni kundi gani katika jamii lilolohodhi madaraka.

Mwisho inakubidi utazame kipi kikubwa kinachoshughulisha nchi katika vitu hivi viwili, je ni maendeleo ya nchi na watu wake au kubaki madarakani kwa njia yeyote iwezekanayo?

Ukiwa na ujuzi na uelewa wa haya.yote ndipo utafahamu kwa nini Zanzibar imejikuta katika hali hii waliyonayo.

Nimeona watu hapa wakichangia kwa kukejeli.

Hii ni kuwa kuu hawatambui nguvu waliyonayo masheikh na kuwa hawahitaj tena jukwaa kuwahamasisha Wazanzibari kudai haki ya nchi yao.
 
Wakristo wa ZANZIBAR na WAISLAM huwezi watafautisha ttzo hawa washenzi wanaoingia sasa hivi ZANZIBAR wanakuja kueneza USHENZI wao na chuki baina yetu lkn makanisa ZANZIBAR yapo na kila MTU anaheshimiwa kwa itikadi yakee
Hawa mashehe ubwabwa ndiyo waliokuwa wanahamasisha kuchoma makanisa na kuua mapadre huko Zanzibar wakati huo sasa wameshanyooshwa! Kwisha habari yao kama na wewe unataka ukakaa Gerezani kwa miaka ya kutosha fanya walivyofanya hao Mashehe ubwabwa wakati wa Kikwete. Uongozi wa Mama Samia lazima utakunyoosha tu.
 
Kitu muhimu ni kwamba wamenyooshwa hawaongei kwa kiburi kama walivyokuwa wanatishia dola ya nchi hii sasa wanaongea kwa adabu chezea kukaa Gerezani miaka 9 wewe!!?
Magu...
Mtu hanyooshwi kwa kudai haki ya nchi yake.

Ingekuwa hilo linawezekana wangenyoosheka wananchi wa Vietnam walipokuwa wanakabiliana na Marekani kuikomboa nchi yao.

Unajua vita vya Yugoslavia dhidi ya Hitler majeshi ya Yugoslavia yakiongozwa na Field Marshall Tito wakati wa WW II?

Huu ndiyo ukweli wa historia.
 
Magu...
Mtu hanyooshwi kwa kudai haki ya nchi yake.

Ingekuwa hilo linawezekana wangenyoosheka wananchi wa Vietnam walipokuwa wanakabiliana na Marekani kuikomboa nchi yao.

Unajua vita vya Yugoslavia dhidi ya Hitler majeshi ya Yugoslavia yakiongozwa na Field Marshall Tito wakati wa WW II?

Huu ndiyo ukweli wa historia.
Kwahiyo wataendelea na kuchoma makanisa na kuua askari wetu kama walivyokuwa wanasema kabla ya kukamatwa mkuu?
 
Kama kauli hii ni ya kwake
Basi kweli walikuwa

CHUO CHA MAFUNZO

Miaka 9 upelelezi kwanini waliwekwa kwenye kitu hakijathibitika
 
Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.

Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Walifanya UGAIDI

Walimmwagia Padri tindikali

Waliwamwagia Watalii tindikali zanzibar

Walishiriki kuuwa watalii watatu Mombasa

Acha Ushankupe Muzee
 
Back
Top Bottom