Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Miaka waliyokaa jela imewapa masomo mawili:
Either watakuwa wema sana au watakuwa wamekuwa wanyama hatari zaidi.
Usikute huko selo yame-recruit watu kibao kwenye hiyo imani kali yao!
No room for that jela.
Even if though. una recruit jela halaf unatarajia nn? bora wakae watulie.
Maana serikal inawaangalia hata huko uraiani. wakizungua tena watapotea this time
 
Mzee kikwete mnamuonea tu yeye aliletewa tu kumbuka walikamatwa Zanzibar ila Wanzanzibar wenyewe ndio wakaomba wakae jela za huku kule kwao hawatajifunza kitu ishu ya migogoro ya Zanzibar wabara tunabebeshwa lawama tu ila wenyewe kwa wenyewe ndio wanakamiana.
Asante kwa kunipa Mwanga mpana juu ya suala hili.

Kumbe ni Shein aliyemuomba Kikwete ili hawa waungwana waje huku bara.
 
Tumshukuru Mungu wametoka salama, lakini tusianze kutetea au kupinga, mwenye macho na masikio aliyasikia na kuyaona, na kauli zao silisikika vile vile, Nina Imani wamejifunza kitu kwamba Dola haichezewi basi.
 
Akili yao imekuwa sawa kwa mafunzo ya miaka 9 ule upuuzi waliokuwa wakiuhubiri kwa sasa hakuna atakayethubutu hapo walipo hata wakiwa wamekaa wakasikia salamu ya Mama nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania wanaweza kusimama kwa ukakamavu maana wanaijua jamhuri sasa ni nini
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Asante kwa kunipa Mwanga mpana juu ya suala hili.

Kumbe ni Shein aliyemuomba Kikwete ili hawa waungwana waje huku bara.
Mambo mengi hata ya uchaguzi sisi tunafanya tu sababu wao wametaka iwe ivo hata ishu ya Muungano wenyewe ndio waliutaka ila kutwa kucha lawama kwetu sisi ila sababu tunaapa kuulinda Muungano hatuna budi kufanya ivyo.
 
Hujui kitu, wewe ni mmoja kati ya lile kundi lililoshibishwa mahubiri ya hao jamaa ambao mlikuwa mnapokea mafundisho toka kwa walimu wajinga, unamuita mwenzio mzembe aliekuwa frontline wakati wewe hata hujulikani ulipokuwa...
Asipokuelewa hakuilewi tena
 
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa
Wameonewa huruma wasingeshindwa kuthibitisha... Magaidi huwa hawahukumiwi ni kuwekwa kizuizini hadi mauti yawakute.

Hawa wamehurumiwa kwa sababu ya dini zao.
 
Kama kungekuwa na ushahidi wa tuhuma zao basi wasingeachiwa huru. Tukumbuke haki huinua Taifa. Kuna kesi 147 za Takukuru zimefutwa labda na nyingine chungu nzima hazijafutwa lakini ni kesi FAKE....
Mkuu labda ulikuwa huangalii TV hawa JAMAA walikuwa wamejiaminisha Sana kiasi.cha kutamba kwenye vyombo vya habari hakuna anayewaweza, nikiri kwamba Shein na serikali yake iliwashindwa, nashukuru kipo walichojifunza
 
Tumshukuru Mungu wametoka salama, lakini tusianze kutetea au kupinga, mwenye macho na masikio aliyasikia na kuyaona, na kauli zao silisikika vile vile, Nina Imani wamejifunza kitu kwamba Dola haichezewi basi.
Kweli kabisa
 
Msiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
Ebu toa ushaidi Kama Kuna Clip waliwai kuhamasisha kuchoma makanisa????isiwe chuki tu za uislamu na waislamu
 
Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka...
Mkuu embu kama unajua chimbuko la kesi tuhuma zilizotolewa dhidi ya masheikh wa uamusho tuzijue. Najua JF kuna kila kitu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.

Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa...
We bwana mdogo vipi? Sasa kama wewe hukubaliani na sheghe wako..baas anzisha harakati zako wewe kama wewe..jinsi vile yeye alivyoanzisha zake na ukatokea wewe kumpa support baas anzisha na wewe zako watakuja wengine wakusupport kisha utapelekwaa maabusu miaka 15..hapo ndipo akili ya ubongo wa mbele itakapokujia.

Kwa nini unaumia kwa mwenzako kusema vile? Anzisha harakati zako sasa..tunakusubiri nyau kabisaa weyee
 
Mzee kikwete mnamuonea tu yeye aliletewa tu kumbuka walikamatwa Zanzibar ila Wanzanzibar wenyewe ndio wakaomba wakae jela za huku kule kwao hawatajifunza kitu ishu ya migogoro ya Zanzibar wabara tunabebeshwa lawama tu ila wenyewe kwa wenyewe ndio wanakamiana..
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom