Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Detective,
Hilo la kupoteza maisha ni sehemu ya historia ya matatizo yaliyoko Zanzibar.

Wazanzibari wengi wamepoteza maisha katika kupigania nchi yao.
Mazingira tofauti sababu tofauti. but are they ready to do it again? just like first time?
 
Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.

Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.

Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.

Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Hakuna watu wabaya kama Wanaharakati unaleta harakati katika maslahi ya umma ?

Huyo shehe ameelewa sasa,ila nina amini kabisa walipewa nasaha sana ila hawakuzifanyia kazi na baadhi ya ndugu zetu wa Zanzibari,ila leo naona amekumhuka wapi walipokosea.
 
Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka.

Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna watu wale wasiojulikana, kama wamataka kuharibu kitu au ku-create kitu basi hutengeneza sababu ambayo itatupa sisi dhima kwa hiyo tuwe wavumilivu.

Furaha itoshe tumetoka, tuko huru na tusubiri tutakaporuhusiwa kufanya mijumuiko tutafanya, tukiambiwa hapana basi tusishindane na mwenye nguvu.

Jamaa wamenyooka
 
Kati yako wewe na yeye nani anaejua zaidi? Yeye na wenzie ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania wanachokijua huku wameshikana mikono, unaweza vipi kumpinga mwalimu wako wewe shabiki tu.

Yaliyomfika huko alikokuwa kwa miaka tisa yamemfunza asirudie kushindana na mwenye nguvu zaidi yake, kama kuipigania "Zanzibar yao" hiyo Zanzibar yao walipewa na nani? au waliinunua wapi? na kwanini wao kuipigania "Zanzibar yao" kusababishe waumie wengine ambao hawahusiki?

Ile Zanzibar ninayoijua mimi ni ya wote, hakuna mwenye Zanzibar yake pale, ule waliofanya ulikuwa ni ulevi tu wa ubinafsi na mihemko uliowasababishia matatizo, sasa mwenzako anakiri alikosea, wewe bado unataka umrudishe alikotoka wakati akiteseka kule wewe ulikuwa nyumbani na familia yako unakunywa chai na vitumbua.
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana huyo Mselemu toka Shein yuko madarakani alishaomba msamaha na alikiri kuponzwa na wenzie msamaha umetoka akahubiri amani sasa na sio vurugu hii nchi inaendeshwa kwa sheria na lazima tuheshimu mamlaka.
 
Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.

Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Tangu walipowekwa gerezani ulishasikia makanisa yakichomwa moto? ulishasikia makasisi wakimwagiwatindikali na kuuwawa. Sasa subiri wajisahaurishe kama miaka 5 au sita hivi waanze moto wao wa kuwavutia kasi hawa watu wanaowaita Kamafiri, utasikia kanisa moto, mchungaji, padri at el, wanamwagiwa tindikali mara paaaap risasi. Dah mungu aingilie kati aiseee
 
Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.

Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.

Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.

Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Kama wanaharakati kwenye vinchi vyetu ni uchwara, unasubiria nini wewe kuanzisha harakati hizo ili uwe hero?

Wakati unawakebehi Mashekh hawa kwa kuona madhaifu kwa kile walichokipigania mpaka wakaa gerezani miaka tisa, wenyewe wameona walichokuwa wanakifanya hakikuwa sahihi na kuongea walioongea, wewe ni nani uliyejishibia ugali umekaa kwako miaka tisa ukishindwa kuchukua nafasi za Mashekh walizokuwa wanazifanya mpaka kufungwa?
 
Hawa jamaa walipata wapi kiburi hichi, nahisi wamepata funzo kwamba serikali INA mkono mrefu
 
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa
UNAWAJUA SHEIKH FARID NA SHEIKH MSELEM NA WALICHOKUWA WANAHAMASISHA???! TAFUTA CLIP ZAO.

KIKUBWA WAMEKA MIAKA 10 SELO SASA WAJIREKEBISHE!
 
Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.

Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.

Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.

Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Bro usijifiche nyuma ya keyboard kama unauthubutu wa kupinga Serikali dhalimu njoo hadharani Mselem anajua anachokiongea ujui kitu kuhusu uhamsho. Imagine katika nchi inayoendeshwa kwa katiba wanatokea watu wanasema tarehe fulani nchi ni yetu hii kwako ni sawa?
 
Msiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
Miaka waliyokaa jela imewapa masomo mawili:
Either watakuwa wema sana au watakuwa wamekuwa wanyama hatari zaidi.
Usikute huko selo yame-recruit watu kibao kwenye hiyo imani kali yao!
 
Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.

Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Hawawezi kufanya hivyo vipi na wale wa kibiti waliokokbilia msumbiji sasa...
Swala la usalama ni la kitaifa na sisi Tanzania tunaliangalia kwa umakini mkubwa..
 
Walishitakiwa sababu ya mijumuiko ? Au kilichokuwa kinafanyika katika hayo majumuiko..., nadhani ili kujua kama wanaonewa au la!! inabidi tujue hicho wanachotaka kuambiwa hapana au ndio ni kufanya nini ?
 
Watafute shughuli halali ya kufanya kuliko kutaka kuendesha nchi kwa vitisho dhidi ya dini nyingine.

JK ndio alishughulika nao sidhani kama wanaweza kumbughudhi.
Mzee kikwete mnamuonea tu yeye aliletewa tu kumbuka walikamatwa Zanzibar ila Wanzanzibar wenyewe ndio wakaomba wakae jela za huku kule kwao hawatajifunza kitu ishu ya migogoro ya Zanzibar wabara tunabebeshwa lawama tu ila wenyewe kwa wenyewe ndio wanakamiana.
 
Back
Top Bottom