Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu ndo magwiji wa ushoga maana ni tamaduni za Kiarabu.Mlikuwa mnahamasisha ushoga kule kweny nchi ya watu
Other,Tangu walipowekwa gerezani ulishasikia makanisa yakichomwa moto? ulishasikia makasisi wakimwagiwatindikali na kuuwawa. Sasa subiri wajisahaurishe kama miaka 5 au sita hivi waanze moto wao wa kuwavutia kasi hawa watu wanaowaita Kamafiri, utasikia kanisa moto, mchungaji, padri at el, wanamwagiwa tindikali mara paaaap risasi. Dah mungu aingilie kati aiseee
Fall...Waislamu ndo magwiji wa ushoga maana ni tamaduni za Kiarabu.
Walikua hawachanganywi na WAFUNGWA wengine Boss.Miaka waliyokaa jela imewapa masomo mawili:
Either watakuwa wema sana au watakuwa wamekuwa wanyama hatari zaidi.
Usikute huko selo yame-recruit watu kibao kwenye hiyo imani kali yao!
Fall...Waislamu ndo magwiji wa ushoga maana ni tamaduni za Kiarabu.
Walikua hawachanganywi na WAFUNGWA wengine Boss
Mkaruka...Tangu wakae Gerezani Wakristo wa Zanzibar walipumua maana hapakuwa tena na Mapadri kupigwa risasi wala Makanisa kuchomwa moto.
Unajua kilichowakuta miaka yote hiyo, kwanini usilianzishe wewe ili tukusaportAnaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa...
Mashoga wapo sehemu zote ,unajua idadi ya waislam ambao ni mashoga ,akina aunt ally ?au unabwabwaja t
Detective,Dini hamzuii mtu kufanya uhalifu.
Na ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa wala tindikali iliyomwagwa ???
Key,Walishitakiwa sababu ya mijumuiko ? Au kilichokuwa kinafanyika katika hayo majumuiko..., nadhani ili kujua kama wanaonewa au la!! inabidi tujue hicho wanachotaka kuambiwa hapana au ndio ni kufanya nini ?
Che...Kama mlitaka kuishi kidini, hizo nchi zipo, za kidini. Nendeni Somalia watawapokea.
Kule ni Uislamu mwanzo mwisho.
Ni kuswali tu na kuhiji na kufunga ramadhan.
Nendeni huko mkaishi mnavyopenda.
Hujui kitu, wewe ni mmoja kati ya lile kundi lililoshibishwa mahubiri ya hao jamaa ambao mlikuwa mnapokea mafundisho toka kwa walimu wajinga, unamuita mwenzio mzembe aliekuwa frontline wakati wewe hata hujulikani ulipokuwa.
Nyie mlikuwa mnapigana vita ambayo hata hamkumjua adui yenu ni nani, badala ya kuelekeza mashambulizi yenu panapostahili, mkayaelekeza kwa wengine ambao kimsingi hawahusiki.
Hivi mnaposema "Zanzibar yenu" mnakuwa mnakumbuka hiyo Zanzibar ina mchanganyiko wa makundi ya watu wenye imani tofauti? au mnataka hao wengine waondoke Zanzibar mbaki peke yenu?
Rudi kawaulize walimu wako hayo maswali wakikujibu ndio urudi hapa na hizi story zako zisizoeleweka, ile Zanzibar sio yenu peke yenu, ni ya wote, huu ubinafsi wenu ndio unawaletea shida halafu mnalia mnaonewa.
Sibishi kwamba kilichoshindikana kwa njia ya box la Kura kinawe kuwezekana kwa kutumia hawa watu, ila kwa njia gani ?Key,
Kwa muda mrefu Wazanzibari wamekuwa wakidai uhuru zaidi katika nchi yao.
Hili linaungwa mkono na Wazanzibari wengi na ndiyo sababu kuu upinzani umekuwa na nguvu kubwa Zanzibar.
Hali hii imepelekea CCM Zanzibar kushindwa kushinda chaguzi zote visiwani.
Chaguzu huru ilikuwa ni jinamizi.
Tatizo limekuwa likikua kila miaka ilivyozidi kwenda.
Matokeo yake ndiyo haya Wazanzibari wakajenga nguvu ya umoja wao kupitia Uamsho.
Wazanzibari waliamua kuileta dini yao kuongeza nguvu yao.
Hii ikawa "front" ya pili ya mapambano dhidi ya Tanganyika, nguvu ya kwanza ikiwa kupitia upinzani.
Bila ya kutafuta suluhu Wazanzibari hawataacha kuidai nchi yao.
Inaelekea ukweli huu sasa umewaamsha waliokuwa wanadhani wanaweza kutawala kwa kutumia nguvu.
Haya tunayoshuhudia ya kwanza kuwa na Serikali ya Umoja Zanzibar na pili masheikh kutolewa gerezani ni katika juhudi za kutafuta utangamano Zanzibar iwe kitu kimoja na itawalike kwa amani.
Mama Samia na Rais Dr. Hussein Mwinyi na Upinzani uliokuwako Zanzibar umefungua mlango mpya wa udugu.
Tuwasaidie katika hili sisi kama ndugu zao.
Hii ndiyo njia nzuri ya kudumisha muungano.
Umeandika ukweli ktk post 115, sio Wazanzibari wote wanao chukia Muungano.Che...
Soma post 114.
Kama kudai utaifa wetu mlioupora nyinyi wakoloni WEUSI ni ujinga basi TUNEUKUBALI UJINGA HUO WAZANZIBARNi kweli walikua wanahubiri ujinga clips zipo
Wakristo wa ZANZIBAR na WAISLAM huwezi watafautisha ttzo hawa washenzi wanaoingia sasa hivi ZANZIBAR wanakuja kueneza USHENZI wao na chuki baina yetu lkn makanisa ZANZIBAR yapo na kila MTU anaheshimiwa kwa itikadi yakeeKabisa aisee maana walituonea sana.