Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Osama alikufa lakini ugaidi bado, unataka kutwambia nini hasa?
Osama ni different entity different case.
+ yeye alikuwa ana succession plan? hawa walikuwa nayo au walianzisha harakati juu juu?
 
Kati yako wewe na yeye nani anaejua zaidi? Yeye na wenzie ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania wanachokijua huku wameshikana mikono, unaweza vipi kumpinga mwalimu wako wewe shabiki tu.

Yaliyomfika huko alikokuwa kwa miaka tisa yamemfunza asirudie kushindana na mwenye nguvu zaidi yake, kama kuipigania "Zanzibar yao" hiyo Zanzibar yao walipewa na nani? au waliinunua wapi? na kwanini wao kuipigania "Zanzibar yao" kusababishe waumie wengine ambao hawahusiki?

Ile Zanzibar ninayoijua mimi ni ya wote, hakuna mwenye Zanzibar yake pale, ule waliofanya ulikuwa ni ulevi tu wa ubinafsi na mihemko uliowasababishia matatizo, sasa mwenzako anakiri alikosea, wewe bado unataka umrudishe alikotoka wakati akiteseka kule wewe ulikuwa nyumbani na familia yako unakunywa chai na vitumbua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hako kajamaa ni kajinga mkuu kamejaa coran kichwani
 
Leo Kanisa limegubikwa na tatizo la ushoga.

Hatuwezi kusema kuwa haya ni mafunzo ya Yesu Kristo.

Halikadhalika tunalo tatizo kubwa la ugaidi hatuwezi kusema hayo ni mafunzo ya masheikh.
Ushoga kwa sasa upo zaidi muongoni mwa Waislam duniani.

Kutwa Waislam wanaandamana kutaka ihalalishwe.



images%20(64).jpg
 
Maabara,
Niko katika utafiti unaweza kunipatia ushahidi wa hili?

Ulaya zinafungwa ndoa kanisani.

Ningependa kujua kwa nini haya yanaruhusiwa.

Afrika ushoga ni jambo baya sana watu wanajificha Ulaya ni kitu cha kawaida.
Sio ulaya tu. Imamu Daaiye Abdullah wa Marekani na Nur Warsame wa Canada ni Maimamu waliojitangaza rasmi kuwa ni Mashoga, pia ni Maimamu wenye waumini wengi sana huko USA na Canada.
2237833_images2080.jpg
download%20(12).jpg
 
Osama ni different entity different case.
+ yeye alikuwa ana succession plan? hawa walikuwa nayo au walianzisha harakati juu juu?
Hawa ni matawi ya movements zenye kufanana na alichokifanya Osama. Hawa wanakwenda kinyume na utawala wa secularism kwa maana ya mchanganyiko wa ukristo na uislam, wanakwenda kinyume na magharibi na kila chenye kuihusu.

Hawa wafadhili wao ndio hao hao ambao magharibi siku zote inasema ni halali kuwamaliza wale wenye kuongoza ili ushawishi wao usienee kila kona ya dunia. Licha ya Osama kuuwawa bado warithi wake wapo na mara nyingi wanajitangaza, USA akishamfahamu kiongozi mpya unaanza mchakato wa kummaliza.
 
Akili yao imekuwa sawa kwa mafunzo ya miaka 9 ule upuuzi waliokuwa wakiuhubiri kwa sasa hakuna atakayethubutu hapo walipo hata wakiwa wamekaa wakasikia salamu ya Mama nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania wanaweza kusimama kwa ukakamavu maana wanaijua jamhuri sasa ni nini
Mie nawaasa washukuru walinaswa wakati waJK wenzao waliotuhumiwa enzo za JPM hawapo tena na hata unywele haukuonekana
 
Mlitaka wapewe hukumu ya kifungo ili mpige kelele wanaharakati wamefungwa? Ili muandamane, sasa dawa yao ni kuwaweka mahabusu miaka 9 ili nchi itulie.

Sasa ole wao wabwabwaje tena kuhusu kufukuza watalii wanaovaa kinyume na imani zao kali, kuchoma makanisa na kutishia kuibuka kwa magaidi.
wewe teja wacha kuvuta cocaine
 
JK ndiye aliyewashughulikia hao jamaa wa misimamo mikali hakuwa Rais mkatoliki.

Mwenye kufikiria kwa kina atajiuliza mengi. Wapo wanaotaka kumtupia jumba bovu hayati JPM wakisahau na yeye alipambana field na akili kama hizo kule Mkuranga na Rufiji.

Kwa Tanzania hii ambayo tumechanganya sana makabila taasisi yoyote yenye nia ovu inajitakia maumivu.

Misingi yetu ya utaifa ni imara sana.
utaifa gani na nchi hii niyakikatolic period.
 
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana huyo Mselemu toka Shein yuko madarakani alishaomba msamaha na alikiri kuponzwa na wenzie msamaha umetoka akahubiri amani sasa na sio vurugu hii nchi inaendeshwa kwa sheria na lazima tuheshimu mamlaka.
nchi hii toka lini imeendeshwa kwa sheria. ikiwa watu wamechoma makanisa na wameuwa padri na hawakuhumiwa halafu unasema chi hii inasheria huachi mzee bangi kidogo.
 
No room for that jela.
Even if though. una recruit jela halaf unatarajia nn? bora wakae watulie.
Maana serikal inawaangalia hata huko uraiani. wakizungua tena watapotea this time
wapotee tu who care
 
nchi hii toka lini imeendeshwa kwa sheria. ikiwa watu wamechoma makanisa na wameuwa padri na hawakuhumiwa halafu unasema chi hii inasheria huachi mzee bangi kidogo.
Kwaiyo hii nchi inaendeshwa na nini? Kikubwa tuheshimu mamlaka zilizopo madarakani.
 
Sibishi kwamba kilichoshindikana kwa njia ya box la Kura kinawe kuwezekana kwa kutumia hawa watu, ila kwa njia gani ?

Binafsi nadhani ili kuwa na nguvu na kupata sympathy kudai uhuru au chochote kile... kiwe ni cha Wanzibar wote bila kujali imani zao, mwisho wa siku watafanikiwa (ila kwa kutumia aina hii ni kama panya kuchezea sharubu za paka)

Watumie mbinu za kina Ghandi au waliosema Non Violence.., Non Violence We Shall Overcome... (bila hivyo hata kama wenyewe sio wenye fujo ila tunajua kwenye msafara wa mamba pia kuna Kenge...) au kenge watajitokeza na kuleta fujo / machafuko jambo ambalo tutajikuta tunapoteza nguvu kazi za watu kupoteza muda wa maisha yao wakiwa kifungoni...

Yaani miaka kumi ijayo tutakuwa tunazungumza haya haya
matatizo ya watanganyika most of them niwajinga tu hata ukimsikiya mtu ni profesa basi ujuwe hio shahada ni feki amepewa tu na kanisa ili waongeze idadi ya wenye shahada watanganyika kwa ujinga wao wanakufa kwa njaa na wakati wamejaaliwa rasilimali zakutosha na zaidi lakini kwa vile ni paketi tupu wanakufa na njaa akili zao zimechanganika na mavi. ivi kwa akili zako za mavi kama hawa masheikh wamefanya fujo na wameuwa padri si wengepelekwa mahakani wakafungwa maisha au ccm wanahuruma sana lakini huruma zao hawakumfanyia tundu lisu au vipi teja
 
Back
Top Bottom