Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Huyu mzee sio kwamba haelewi,anaelewa sana,ila itikadi zake za kidini zinamtesa....akae akijua tuu nia yao mbovu haitokaa ikafanikiwa,abadan.
 
Asilimia 80 ya wzanzibari hawautaki muungano huu.
Tanganyika imejigeuza jina kujiita Tanzanaia na kuitawala zanzibar.
Mpaka kesho tutadai Zanzibar yetu na asoitaka zanzibar ahame.
Jeuri hii ni kama ile ya mbuzi, mpaka saa ya kuchinjwa inapofika anakuwa bado anapandisha sauti yake akidhani anamtisha mchinjaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…