Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Mlitaka wapewe hukumu ya kifungo ili mpige kelele wanaharakati wamefungwa? Ili muandamane, sasa dawa yao ni kuwaweka mahabusu miaka 9 ili nchi itulie.

Sasa ole wao wabwabwaje tena kuhusu kufukuza watalii wanaovaa kinyume na imani zao kali, kuchoma makanisa na kutishia kuibuka kwa magaidi.
 
Kumbe ni watu hatari na nusu?
 
Kama kungekuwa na ushahidi wa tuhuma zao basi wasingeachiwa huru. Tukumbuke haki huinua Taifa. Kuna kesi 147 za Takukuru zimefutwa labda na nyingine chungu nzima hazijafutwa lakini ni kesi FAKE.
Wakae watulie nchi inahitaji amani kuliko vi ideology vyao uchwara vya mudi kichaa.


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekuwa pabaya sana hawa wangeachiwa wasambaze roho za chuki, kwani kulikuwa na vuguvugu la Rufiji na Mkuranga.

Ukichanganya hizo movements mbili hatari muda huu tungekuwa kama Nigeria na Chad.
 
Kiukweli hauwezi kushindana na serikali yenye kila aina ya nguvu ya dola ila kutoa ushauri ni muhimu,kuhamasisha vurugu ni hatari kwa usalama wa taifa maana ikitokea vurugu wanaoathirika ni wengi hata ambao hawahusiki.

Tulieni mfanye mambo yenu ,mambo ya uharakati wa kidini haufai.
 
Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.

Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Sio kila kitu kina ushibitisho wa moja kwa moja, kuna uthibitisho wa kimazingira ama wanaita circumstancial evidences.

Na sio kila jambo linaweza kuthibitishwa kwa wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…