"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 - 2050 , julai 17, 2025 jijini Dodoma
Chanzo: Habari digital
Chanzo: Habari digital