Shekhe ubwabwa wengi IQ zao zipo chiniHuyu anataka tuamini kuwa kila anayevaa kanzu ana tatizo la afya ya akili...
Shekhe ubwabwa wengi IQ zao zipo chiniHuyu anataka tuamini kuwa kila anayevaa kanzu ana tatizo la afya ya akili...
Kujua kusoma na kuandika kiaarabu tuHivi vigezo gani hutumika kumpata sheikh?,
Mbowe kwa sasa ni Adui wa Chadema ni mtu hovyo sanaMbowe siyo baba wa chadema
Hakika..Shekhe ubwabwa wengi IQ zao zipo chini
Mnafiki Tu shenzi"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 - 2050 , julai 17, 2025 jijini Dodoma
Chanzo: Habari digital
Kuvaa kanzu na kibarakashia muda wote, na kwenda masjid mara nyingi...baasi!Hivi vigezo gani hutumika kumpata sheikh?,
Mbowe ana karama ya uongozi huwezi kuwalinganisha na wale viongozi wa kukinukisha"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 - 2050 , julai 17, 2025 jijini Dodoma
Chanzo: Habari digital
Chukua deni lote la taifa,ni lako tuacheni sisiastala victoria siempre gentleman, relax 🐒
maskini wa fikra hawawezi kuachwa wenyewe gentleman 🐒Chukua deni lote la taifa,ni lako tuacheni sisi
Hata hivyo hatuko wote sisi ni coleteral ya kukopea,we are wilderbistmaskini wa fikra hawawezi kuachwa wenyewe gentleman 🐒