Sheikh Mwaipopo: CHADEMA muigeni Baba yenu Mbowe ile ndiyo siasa, acheni chuki

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 - 2050 , julai 17, 2025 jijini Dodoma

Your browser is not able to display this video.


Chanzo: Habari digital
 
Tayaariii ashapewa pilau mbuzi Pepsi barid ndizi mbivu! Anatiririka tuu!!
 
huyu mjinga naye wa kumsikiliza? akipewa ubwabwa sahani moja tu na ndizi ya kuiva yupo tayari hata kuuza nchi. halafu tangu lini ukamkuta mnyakyusa shehe?
 
amesema ukweli mtu mwaipopo 🐒
 
Huyo shekh usikute ni kada(bottom) wa komakomredi (top) huko ccm
 
Sifa ya kuwa shekhe ni kusoma na kuandika kiaraaarabu madrasa, Wengi wao IQ zao zipo chini sana, shekhe ubwabwa kasahau kuwa wenye chuki ni ibirisi wa ccm wanaowabambikia kesi za uongo chadema na kuwateka kuwaua kuwahujumu kuwadhoofisha chadema kwa kumtuma Mbowe awauzie G55 na ccm kuwasokomeza chauma ubwabwa, chama chawaccm
 
Haahaa pale Cha kumuiga mbowe ni unafiki tupu....
 
Mbowe ana chuki na Uongozi mpya wa chadema , hajawahi kwenda kumuona Lisu gerezani wala Mahakamani na huwa anataka Lisu afie jela ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba, Mbowe ni mwizi na Dalali wa siasa kawauza G55 kwa ccm na ndipo ccm wakawasokomeza chaumaubwabwa akala mabilioni toka ccm, Mbowe ni mtu wa hovyo na pili ana Roho mbaya sana, alimuua chacha wangwe na akamwekea Sumu Zito kwa lengo la kumuua akaponea chupu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…