Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza kuleta madhara zaidi kwa anayefanya hivyo.
Akizungumza Agosti 24 jijini Dar es Salaam, Sheikh Mwaipopo amesema Heche anapaswa kuelewa kuwa kupigana au kupingana na Serikali ni sawa na “kupigana na Mlima Kilimanjaro”, akisisitiza kuwa ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa kuweka mbele maslahi ya taifa, mshikamano na utulivu.
Soma pia: Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh