katibu mkuu wa chadema taifa anaitwa John J.Mnyika.View attachment 3656084
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza kuleta madhara zaidi kwa anayefanya hivyo.
Akizungumza Agosti 24 jijini Dar es Salaam, Sheikh Mwaipopo amesema Heche anapaswa kuelewa kuwa kupigana au kupingana na Serikali ni sawa na “kupigana na Mlima Kilimanjaro”, akisisitiza kuwa ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa kuweka mbele maslahi ya taifa, mshikamano na utulivu.
Soma pia: Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh
Sheikh Mwaipopo ana genge lake la ugaidi lenye baraka zote za MamaSamia2025View attachment 3656084
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza kuleta madhara zaidi kwa anayefanya hivyo.
Akizungumza Agosti 24 jijini Dar es Salaam, Sheikh Mwaipopo amesema Heche anapaswa kuelewa kuwa kupigana au kupingana na Serikali ni sawa na “kupigana na Mlima Kilimanjaro”, akisisitiza kuwa ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa kuweka mbele maslahi ya taifa, mshikamano na utulivu.
Soma pia: Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh
Na ukizingatia deen yao na ugaidi ni uji na mgonjwa!Sheikh Mwaipopo ana genge lake la ugaidi lenye baraka zote za MamaSamia2025
Mwaipopo sarakasi zoote hizo unazoziona kama kapewa hela nyingi haizidi millionWAZUNGU wameshindwa kumnunua Sheikh Mwaipopo
Sheikh jukumu lake kuwaunganisha waumini sio kuwagawa kiimani
Sifa ziende kwake Sheikh wetu Mwaipopo ✍️
Mazafaka ana uchawa usiotumia akili hata kidogo. Duniani kote hakuna mpinzani wa kweli ambaye hapingi serikali iliyoko madarakani.View attachment 3656084
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza kuleta madhara zaidi kwa anayefanya hivyo.
Akizungumza Agosti 24 jijini Dar es Salaam, Sheikh Mwaipopo amesema Heche anapaswa kuelewa kuwa kupigana au kupingana na Serikali ni sawa na “kupigana na Mlima Kilimanjaro”, akisisitiza kuwa ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa kuweka mbele maslahi ya taifa, mshikamano na utulivu.
Soma pia: Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh
Posho imekataHiki kiazi kilikuwa kimya naona kimeibuka tena.
Mwaipopo dishi limeyumba ,hana tofauti na Nabii TITO.View attachment 3656084
Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza kuleta madhara zaidi kwa anayefanya hivyo.
Akizungumza Agosti 24 jijini Dar es Salaam, Sheikh Mwaipopo amesema Heche anapaswa kuelewa kuwa kupigana au kupingana na Serikali ni sawa na “kupigana na Mlima Kilimanjaro”, akisisitiza kuwa ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa kuweka mbele maslahi ya taifa, mshikamano na utulivu.
Soma pia: Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh
Hilo haliepukiki.Upinzani utaposhika nchi ni vyema watu kama hawa wakalipwa fadhila.