Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe.
Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa Chadema na kukihama chama Hiko wote waliopo bara na visiwani.
Ameendelea kusema pia anawashangaa maaskofu kinachowafanya washupalie suala la DP World ni nin ili Hali kazi Yao ni kuhubiri neno la Mungu?
Mimi nimesikitishwa Kwa kuwa amechelewa sana kuusema ukweli huu,na Kwa namna nyingine nampongeza Kwa ujasiri wa kusimama na kulisema hili ili hawa ambao wameyakoroga haya madudu wayanywe sasa.
Freeman Mbowe Umebeep na sasa Rasmi unapigiwa, tafadhal pokea simu...
Ukitaka kuepukana na wajinga, una mambo mawili ya kuchagua
1. Uhame kwenye dunia hii
2. Ufe
Kwa kuwa yote hayawezekani, twendeni nao na tunawajibu wa kuchukuliana nao
Ila hili la bandari, haturudishwi na kelele za wajinga wasiojua umhimu wa rasilimali pamoja uhuru wa nchi na wananchi
Wanaoamini bandari ni za chadema, wabaki nyumbani
Wanaoamini bandari ni kwa masilahi ya watu wote, wenye dini na wasio na dini, ccm na wasio wa ccm, kesho mapemaaa uwanjani kusikiliza maelekezo ya wataalamu na wanasheria nguli nchini
Kwamba yeye ndie Mungu, yeye ni nani apangie wengine namna ya kuishi... Kwamba yeye ni vyema kumsikiliza lakini kumsikiliza Mbowe ni dhambi, huyo Mwaipopo ndie mjinga zaidi, mwambie majini yake mwisho ni kwa wale anaowamudu tu wengine tumeaga nyumbani, akae na unafiki wake huko.