Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Kumbe ni Vita ya masilahi tu ?..... muhimu walaji wakubwa wanaopingana wapo Ccm.
Hiyo ni vita ndani ya Chama

Chadema hawana watu wa kuratibu Upinzani wa jambo hili kwa namna lilivyo …

hili zogo kwa ukubwa wake linafanana na zogo la kumpinga JPM wakati ule …na Chadema hupewa tu Mwenge kuukimbiza ila Waratibu na wavujisha Mkataba ni wale wale waliokuwa wanavujisha Taarifa za Ikulu wakati wa Mwamba

wakihakikishiwa mgao katika zile 35% share za Wazawa watapoa na jambo litapitishwa

TPA ni kitalu chao cha Uwindaji na kukabidhiwa mgeni ni sawa na kuhamisha Wamasai kule Ngorongoro
 
Kitendo cha shekhe mwaipopo kuwakataza waislam kushiriki mkutano wa chadema unaojadili suala la bandari, tayari yeye kama kiongozi wa dini ameacha kazi yake na KUJIINGIZA kwenye mambo ya bandari.
Hakuna issue ya dini hapo Mwaipopo kavuta umate mate kama walivyovuta wale Maaskofu

kuna Ma Sheikh wakubwa wa Waislam unaona wamepiga kimya kwa kuwa wanajua hili ni dili kama madili mengine tu

ukiona Dr. Slaa anapigia kelele jambo Jua amerukwa Kwenye Dili, ama kalipwa kupinga na kwny hili unaona alivyo active
 
PUMBAVU ZENU! Mimi ni muislamu na sikibali huu upuuzi wa mkataba wa kinyonyaji. Bandali akabidhiwe muwekezaji yoyote kwa mkataba ambao upo 50/50

Mwaipopo anakosea sana kufikiria wanaopinga huu mkataba wa ovyo ni Wakristo tu. Hili ni jambo la kitaifa toeni udini. TUNACHOTAK SERIKALI WALEKEBISHE BAADHI YA VIFUNGU KTK MKATABA KWANI HAVIKO SAWA
Muislamu gani wewe hata kutofautisha L na R huwezi😀
 
Hiyo kunuti Kama ingekuwepo wangeemsomea mwendazake au makonda.
Zamani nilikuwa nikisikia watu wanatishia mtu eti atasomewa albadir nilikuwa naamini. Nikaja kugundua ni usanii fulani unaofanywa kisaikolojia kupitia dini ya kiislamu. Hakuna cha albadir wala uchafu wowote. Na ukienda maeneo yenye waislamu wengi unakuta kabisa hicho kitisho wanakihofia!
 
Back
Top Bottom