Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Musiba alikuwa akihojiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitimoto ni mtihani mgumu kule. Kila nyumba ina banda la waduduKwani Mbeya hakuna waislam?
Yule Mwaipopo chizi,alikamatwa na kuwekwa ndani kwa utapeli nchini Kenya na watu walimkimbia kumdhamini.Rafiki yake Sheikh Majini akawa anaomba michango ili akamtoe ndani!Kwamba yeye ndie Mungu, yeye ni nani apangie wengine namna ya kuishi... Kwamba yeye ni vyema kumsikiliza lakini kumsikiliza Mbowe ni dhambi, huyo Mwaipopo ndie mjinga zaidi, mwambie majini yake mwisho ni kwa wale anaowamudu tu wengine tumeaga nyumbani, akae na unafiki wake huko.
Muda wa miaka 5 ya kufungiwa mikutano ya hadhara, imewafanya CHADEMA kuwa TAAHIRA. Sasa hivi kila wanalofanya ndio linawachafulia zaidi. Alipoulizwa LISSU Club house juu ya Udini, jibu lake lilikuwa rahisi- viongozi wa dini wanaushawishi. Hivyo hata akiingia IKULU hao ndio ataowapigia magoti. M Mungu tuongioze njia iliyonyooka. Lakini sio kwa hiki CHAMA.MWAIPOPO ANA LAANA YA KUMKANA YESU
AMEKUWA TAHRA KABISA.
Ameonesha jinsi gani ni mweupe kichwani.Hii SERIKAL inamkumbatia yeyote aliyeko upande wake no matter anaongea Nini.
Sishangai kuona inatukanwa Matusi ya nguoni Kwa sababu ya ugoigoi wake. Unamwita Lissu na mwabukusi kumhoji una mwacha Mwaipopo?.
Afu Sheikh mnyakyusa Wapi na Wapi atakuwa wa mchongo huyu
Huyu Bwana ndo analigawa taifa vipannde vipannde. Hii NCHI Naona Hata Waze meno yanewaishia wamekuwa mabubu Hawana msaada kabisa.
Siku tumeanza kugawana mbao ndo mtaelewa mchelea mwana kulia atalia yeyé mwenyewe .
View attachment 2696508
Unaijua Soko matolaKitimoto ni mtihani mgumu kule. Kila nyumba ina banda la wadudu
Wataarifu hao walioleta udini kwanza, pengine watakusikia na kubadili safu ya waalikwa viongozi wa dini. Kwa waalikwa hao, sijui pengine huwajui.PUMBAVU ZENU! Mimi ni muislamu na sikibali huu upuuzi wa mkataba wa kinyonyaji. Bandali akabidhiwe muwekezaji yoyote kwa mkataba ambao upo 50/50
Mwaipopo anakosea sana kufikiria wanaopinga huu mkataba wa ovyo ni Wakristo tu. Hili ni jambo la kitaifa toeni udini. TUNACHOTAK SERIKALI WALEKEBISHE BAADHI YA VIFUNGU KTK MKATABA KWANI HAVIKO SAWA
kuna kuwepo waislamu ila hakuna misimamo ya kiislamu kama huku pwani , Mwaipopo ni mpiga kelele tu huwezi msikiliza mtu asiyejielewa rejea sakata la shehe wa mkoa ndio utajua hazimtoshiUnaijua Soko matola
Unaijua Ghana
Unaijua Nonde
Unaijua Majengo
Unaijua Nsoo
Unaijua Itigi
Hayo maeneo wamejaa Waislamu kama upo Pwani.
Tembea ujionee
Misimamo hivi ushafika hayo maeneo kweli?kuna kuwepo waislamu ila hakuna misimamo ya kiislamu kama huku pwani , Mwaipopo ni mpiga kelele tu huwezi msikiliza mtu asiyejielewa rejea sakata la shehe wa mkoa ndio utajua hazimtoshi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu wanadhani ukiwa na Sijda kwenye paji la uso ndo sifa ya ziada ya kupata kazi DP world hapo bandarini
Yes, mnaupiga mwingi kwa wakatoliki wenzenu na wasiojitambua wenzenu.Waislamu kwanini wanachagua kusemewa na watu wa hovyo sana.
Kwa hili, nitazidi kuiheshimu dini yangu Catholic... Kule ni elimu kwanza na kutumikia. Ndiposa baadae upewe mamlaka ya kuongea kwa niaba ya kanisa.
Hapo ndipo wakatoliki tunapoupiga mwingi.
Vitu vingine huwa vinagoma mkuu ila watu wanafosi tu [emoji3][emoji23] eti sheikh Mwaipopo[emoji1] yani title tu mtu ukisoma inaonesha tu imegoma [emoji1]Et sheikh Mwaipopo!![emoji23][emoji23].
Majina mengine haya match kabisa na baadhi ya Title..
Hazi sound kabisaa...
NB
sijasoma uzi
Jamani. Huyu naye ni kiongozi wa dini au tumbo. Kwani viongozi wameisha hadi tuongozwe na mijibwaa na mashehena? Shehe mkuu toa tamko tuondokane na majibwaaaUkiona kiongozi wa dini anahimiza utengano huyo hafai.
Ebu msikilizeni huyu kiongozi alafu tuje na ushauri wa nini kifanyike kama watanzania.
Tanzania haijawahi kuwa na tabia za kibaguzi kama huyu mtu.Nadhani amepotea njia.View attachment 2696630