PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mtoa mada pengine Huko kwenu wanakuita MSOMI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunuti sio nzuriAnother null and void !
Sheikh mwenye akili ni mmoja tu, Sheikh Ponda basi, hao wengine ni mashehena tu, condom za Ccm.Ukitaka kuepukana na wajinga, una mambo mawili ya kuchagua
1. Uhame kwenye dunia hii
2. Ufe
Kwa kuwa yote hayawezekani, twendeni nao na tunawajibu wa kuchukuliana nao
Ila hili la bandari, haturudishwi na kelele za wajinga wasiojua umhimu wa rasilimali pamoja uhuru wa nchi na wananchi
Wanaoamini bandari ni za chadema, wabaki nyumbani
Wanaoamini bandari ni kwa masilahi ya watu wote, wenye dini na wasio na dini, ccm na wasio wa ccm, kesho mapemaaa uwanjani kusikiliza maelekezo ya wataalamu na wanasheria nguli nchini
Tatizo kunutiSheikh mwenye akili ni mmoja tu, Sheikh Ponda basi, hao wengine ni mashehena tu, condom za Ccm.
Makuruti ndio wanao pindua nchi soma HistoriaHuogopi kunuti wewe
Utapigwa kunuti moja tuMakuruti ndio wanao pindua nchi soma Historia
Kama Kweli wee Ni muisalamu una akili Sana barikiwa nduguPUMBAVU ZENU! Mimi ni muislamu na sikibali huu upuuzi wa mkataba wa kinyonyaji. Bandali akabidhiwe muwekezaji yoyote kwa mkataba ambao upo 50/50
Mwaipopo anakosea sana kufikiria wanaopinga huu mkataba wa ovyo ni Wakristo tu. Hili ni jambo la kitaifa toeni udini. TUNACHOTAK SERIKALI WALEKEBISHE BAADHI YA VIFUNGU KTK MKATABA KWANI HAVIKO SAWA
Dah!...kweli hii nchi ina wenyewe au 'king makers'........ tatizo kwa JPM alipambana zaidi na Chadema akawasahau waratibu na wawezeshaji wa upinzani dhidi yake waliopo huko chamani.Hiyo ni vita ndani ya Chama
Chadema hawana watu wa kuratibu Upinzani wa jambo hili kwa namna lilivyo …
hili zogo kwa ukubwa wake linafanana na zogo la kumpinga JPM wakati ule …na Chadema hupewa tu Mwenge kuukimbiza ila Waratibu na wavujisha Mkataba ni wale wale waliokuwa wanavujisha Taarifa za Ikulu wakati wa Mwamba
wakihakikishiwa mgao katika zile 35% share za Wazawa watapoa na jambo litapitishwa
TPA ni kitalu chao cha Uwindaji na kukabidhiwa mgeni ni sawa na kuhamisha Wamasai kule Ngorongoro
Huyu sheh anatumika na nani?kama ni serikali hii inayoongozwa na rais muislam wanamtumia sheh mwaipopo anakaribisha hatari
Kawasikilize hiyo kesho ukikuta ni mahubiri ya kiimani utakuwa umepata jawabu ni mkutano wa kidini...simple tu.Mimi kama mkatoliki nimeshangazwa na idadi ya maaskofu kwenye huo mkutano wa kesho. Hili suala la bandari lina sura ya kidini?