Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

ukiona mtu kahama dini kutoka ukristo kuwa muislam kuna mambo matatu kwa pamoja au moja kati ya hayo yamehusika.

1,ujinga-alikuwa zuzu katika ukristo.

2,matatizo ya akili-mwaipopo mfano.

3,kuungwa mkono na kundi kubwa la wajinga-mfano andrew tate au tyson.

huyu mwaipopo ndio aina ya watu waislam hujivunia.
 
Mimi nimeenda Dubai kwa pesa yangu na ni Mkristo lialia.
Dubai wanatupenda sana kwa umoja wetu usio bagua Dini wala kabila.
Na tukiwakaribisha tutanunua gari kwa bei rahisi sana.
Ndio niangia nyumbani toka Dubai
Mwenye maswali aniulize
 
Mi makosa kutumia jina la Sheikh,ungesema mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom