Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Unashangaa Mtume wa Mungu kurogwa ila hushangai 'Roho mtakatifu' kusalitiwa na ma denti na kuchezea kichapo cha wahuni hadi kutundikwa kwny mti.
Unasemaje kuhusu hawa kuliwa/kula tupu ya nyuma ?
 
Attachments

  • 78C22737-8010-417F-861F-52081172ABCC.png
    78C22737-8010-417F-861F-52081172ABCC.png
    299 KB · Views: 2
Shida kubwa ya hawa jamaa zetu wana matatzo ya kifikra haswa kukariri maandiko yanayosomwa kulia kuelekea kushoto reasoning hawana kabisa
Mtu na akili zako timanu unashikiwa maarifa na mla nguruwe huyo ninamashaka wewe unaweza kuwa mwaipopo mwenyewe
 
Waislam tokeni chadema haraka iwezekanavyo.

Muislam anaebaki chadema huyo ni Muislam jina tu, siyo Muislam wa kweli.

Watu wanaupiga vita Uislam waziwazi bado mnawakumbatia tu?
Wewe mwehu. Hao CHADEMA, wamesema nini dhidi ya uislam? Wewe uawezekana uislam umeukuta uzeeni. Ni muislam jina tu wewe. Waislam washika dini hawapo kama ulivyo wewe.

Wewe huna dini yoyote, unajificha kwenye uislam kutekeleza ajaenda zako za kishetani.
 
Jikite kwenye hoja. Mkataba ni mzuri au kuna vifungu vimekaa kinyonyaji??

Wanao ingiza udini kwenye jambo la kitaifa ni machizi. Tujikite kwenye hoja inayuhusu mkataba. Kwa tz waislamu na wakrito ni ndugu moja
Nami nakuunga mkono pale unaposema nanukuu: "
Wanao ingiza udini kwenye jambo la kitaifa ni machizi" Ni kweli ni machizi- Nakazia tu.
 
Wewe mwehu. Hao CHADEMA, wamesema nini dhidi ya uislam? Wewe uawezekana uislam umeukuta uzeeni. Ni muislam jina tu wewe. Waislam washika dini hawapo kama ulivyo wewe.

Wewe huna dini yoyote, unajificha kwenye uislam kutekeleza ajaenda zako za kishetani.
Kuna Muislam alihutubia kongamano lenu?

Hamjachukuwa hata wasanii kawavalisha kanzu? Mwamposa anawashinda ujanja?
 
Jikite kwenye hoja. Mkataba ni mzuri au kuna vifungu vimekaa kinyonyaji??

Wanao ingiza udini kwenye jambo la kitaifa ni machizi. Tujikite kwenye hoja inayuhusu mkataba. Kwa tz waislamu na wakrito ni ndugu moja
Kama kifungu kipi? Au kuna vifungu "hewa" ambavyo sisi hatuvioni?
 
Kweli kabisa hawa chadema wamezingua kuanza kueka udini na ukabila kwenye hili swala..afu mambo hua yanaanza mdogo mdogo mwisho inakua bifu kubwa
Acha kujitoa akili punguani wewe, anayeweka udini ni huyo chawa Mwaipopo,
 
Kuna Muislam alihutubia kongamano lenu?

Hamjachukuwa hata wasanii kawavalisha kanzu? Mwamposa anawashinda ujanja?
We bibie ni mmoja wa watu wenye akili nzuri tuu, tatizo udini umekuathiri sana mpaka umefunika akili yako kama mtu aliyejifunika na blanket.
Ungelitupa hilo blanket la udini na kuwa muumini binafsi tuu na hayo maarifa/akili uliyo jaliwa na Muumba wako kuyatumia kwa faida ya binadamu wengine ungefika mbali.
 
Back
Top Bottom