Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

MWAIPOPO ANA LAANA YA KUMKANA YESU

AMEKUWA TAHRA KABISA.
Pia hajui kuwa waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.
Yaani huyooooooo, ndio huyo uliemfikiri na wewe!. Sema hamumjui tu
Mmeingia cha kike Tanganyika
 
Wataarifu hao walioleta udini kwanza, pengine watakusikia na kubadili safu ya waalikwa viongozi wa dini. Kwa waalikwa hao, sijui pengine huwajui.
CHADEMA ama imejikoroga yenyewe ama imeamua kujipambanua.
Jikite kwenye hoja. Mkataba ni mzuri au kuna vifungu vimekaa kinyonyaji??

Wanao ingiza udini kwenye jambo la kitaifa ni machizi. Tujikite kwenye hoja inayuhusu mkataba. Kwa tz waislamu na wakrito ni ndugu moja
 
Huyu tapoli na juhaa asiwatieshe. Mwenyewe mbona lishampata kuishi maisha kubabaisha kwani ashahudhuria mkutano huo? Hawa akina Mwaipopo wana laana gani. Namkumbuka tapeli Abubakar Mwaipopo. msilimu aliyewatapeli waarabu wakamdhalilisha hadi akafa na aibu naomba na huyu mwanangu mlaaniwa imkute
Nini kilimkuta Abubakary mwaipopo mzee wa mihadhara?
 
Waislamu kwanini wanachagua kusemewa na watu wa hovyo sana.

Kwa hili, nitazidi kuiheshimu dini yangu Catholic... Kule ni elimu kwanza na kutumikia. Ndiposa baadae upewe mamlaka ya kuongea kwa niaba ya kanisa.

Hapo ndipo wakatoliki tunapoupiga mwingi.
Toka lini amekuwa msemaji wa Waislamu ?
 
Maneno haya walitakiwa waseme Bakwata tiunakushuku Shekhe kujitoa mhanga huo ndio ukweli ndani ya vifua nya wengi
 
Back
Top Bottom