kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,834
- 913
sasa ndio nakuambia hajui uongozi, niWajinga wataamini huu ujinga, yaani ukubaliane na watu wanaotumika kwa manufaa ya ccm?
Kama wanachama wa kawaida wapo pamoja na msimamo wa chama, hawa wajinga wachache wanaotetea matumbo yao ni kuwapuuza tu.
Wakishindwa kutulia washughurikiwe kwa kuvuliwa uanachama waende huko ccm wanapopatumikia
mwanaharakati, hawezi kuunganisha watu wenye mawazovtofauti wakaja pamoja, kwa maana hiyo yeye anaongoza kwa devide and rule, yaani unagombanisha watu wa kundi hili na lingine kwa kupandikiaza hila na chuki dhidi ya kundi moja, ili upande mmoja ukupende, ndicho tundu lissu anafanya badala ya kuconvice wote waje upande wako, hivyo unatengeneza nyufa za chuki kwa maneno yako