Wewe una amini Tundu Lissu atakuja Kua Raisi 😆😆😆Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
Endelea kuamini ivo ivo
Wewe una amini Tundu Lissu atakuja Kua Raisi 😆😆😆Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
Kwasasa Lissu siyo kiongozi wa Chadema? Au Hadi aongoze Nini ndo awe kiongozi?Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
Lisuu awe kiongozi zaidi ya huo uenyekiti? We ht mwehu anakushangaa, kwl kabisa mnasubiri yule kibaraka awe Rais? Tayari amekivunja chama vipande×2 nchi ni hbr nyingine bwanamdogo. Sahv ndiyo nimemdharau zaid, kiongozi mkubwa ana lugha zake, ana haiba zake, Lissu hana tofauti na chokoraa wa mtaani.Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
We ni pumbav, km ni idadi waislam ni wengi sn ni fifty fifty na madhehebu mengine kwa ujumla wao, achana na hixo ligi za kidini ni hatari sn acha utotowazee wa kobaz wanataka kuingia kwenye mtifuano na wagilalaya.
halafu mapema tu wagilalaya wanashinda
idadi ya kobaz wote tz ni equivalent na wasukuma tu
Watoe wapi, kumchagua tu Lissu lilikuwa kosa la karneHivi CHADEMA ya LISSU wanaakili kweli..??
chama chenyewe kagigawanyisha mara mbili, hii inamaanisha uongozi wake sio mzuri maana hajui kuunganisha watu wa familia moja wawe kitu kimoja, ndio maana unaona g55, hana reconciliation, anajua tuu yeye ndio iko sawa wakati wote, hakuna mtu yuko perfact 100%, lHivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
Shehe ubwabwaKatibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Dah! Nimecheka sana mkuu...Tuacheni utani hakuna mnyakyusa ambae anaweza akawa competent kwenye ushekhe...
Wajinga wataamini huu ujinga, yaani ukubaliane na watu wanaotumika kwa manufaa ya ccm?chama chenyewe kagigawanyisha mara mbili, hii inamaanisha uongozi wake sio mzuri maana hajui kuunganisha watu wa familia moja wawe kitu kimoja, ndio maana unaona g55, hana reconciliation, anajua tuu yeye ndio iko sawa wakati wote, hakuna mtu yuko perfact 100%, l
Huko kwao bila shaka hana ndgu, umwaisa na uislam wapi na wapiTuacheni utani hakuna mnyakyusa ambae anaweza akawa competent kwenye ushekhe...
wenzakooKatibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
Toka primary mpaka form six nimesoma Mbeya sijawahi kusoma na mnyakyusa yoyote ambae ni muislamu, mnyakyusa pekee muislamu nilikuja kusoma nae Udsm ambae sasa Nadhani ndie shekhe mkuu wa mkoa wa Mbeya....Huko kwao bila shaka hana ndgu, umwaisa na uislam wapi na wapi
hawa ndo wale wa "nusu kavu na ndizi za kuponda mwaisaa"Tuacheni utani hakuna mnyakyusa ambae anaweza akawa competent kwenye ushekhe...
Kweli mkuu fanya research yako ndogo utakuja kugundua mnyakyusa muislamu ni mara chache sana... kwa hyo mnyakyusa kuwa competent kwenye uislamu inakua ngumuDah! Nimecheka sana mkuu...
Mkuu huyu jamaa anaonekana ni mla kitimoto mzuri...Huko kwao bila shaka hana ndgu, umwaisa na uislam wapi na wapi