sasa ndio nakuambia hajui uongozi, niWajinga wataamini huu ujinga, yaani ukubaliane na watu wanaotumika kwa manufaa ya ccm?
Kama wanachama wa kawaida wapo pamoja na msimamo wa chama, hawa wajinga wachache wanaotetea matumbo yao ni kuwapuuza tu.
Wakishindwa kutulia washughurikiwe kwa kuvuliwa uanachama waende huko ccm wanapopatumikia
Gentleman,Hapo huyo hajaingilia siasa, hajachanganya dini na siasa.
Kina Tlaatlaah na mpwa wake Lucas Mwashambwa wanadai hapo siasa haijaingiliwa 😂😂
hatutaki kiongozi wa kutunza siri za uwizi serikalini ndo maana nchi inanuka rushwa na ufisadi kila idara kwa sababu tuna viongozi dhaifu wasiokemea rushwa waziwaziKatibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
View attachment 3312503
shekhe ubwabwa huyoHivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati
nimeshangaa sana jamaa kuingilia hii kadaTuacheni utani hakuna mnyakyusa ambae anaweza akawa competent kwenye ushekhe...
hana lolote me namfananisha na neno la mwisho kwenye jina lake popoBAKWATA ni tawi la mboga mboga
sheikh mwaipopo hana hoja apuuzwe!
Gentlemen akili zako kisoda, kwanini hampendi kukosolewa?Gentleman,
alikua madhabahuni anahubiria waamini wake chuki sio kama wale waropokaji wengine wanaojifanya ni wadogo zake yeu wa Nazareth kumbe wavuruga ndoa tu za waamini wao?🐒
Huwa wanabadili dini hasa wakifika miji ya pwani.Toka primary mpaka form six nimesoma Mbeya sijawahi kusoma na mnyakyusa yoyote ambae ni muislamu, mnyakyusa pekee muislamu nilikuja kusoma nae Udsm ambae sasa Nadhani ndie shekhe mkuu wa mkoa wa Mbeya....
Hao g55 hawana hoja,kama wanataka kuibiwa kura na CCM wakashiliki vyama vinginechama chenyewe kagigawanyisha mara mbili, hii inamaanisha uongozi wake sio mzuri maana hajui kuunganisha watu wa familia moja wawe kitu kimoja, ndio maana unaona g55, hana reconciliation, anajua tuu yeye ndio iko sawa wakati wote, hakuna mtu yuko perfact 100%, l
Bure kabisa!Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
tundu lissu alipandikiza chuki wakati wa kampeni na kwa sababu hajui uongozi, ameshindwa kuleta watu wenye mawazo tofauti pamoja, na hii inaonyesha namna navyofanya siasa za kugawa watu na hana uwezo wa kuwaleta pamoja watu wa famulia moja wawe timu moja, hapo ndio dhana ya uongozi katika jamii unaona kabisa tundu lissue hana, reconciliation ni muhimu sana kwa mtu anayeongoza watu, hata familia ya kakka , baba , dada mama, km hamna reconciliation hiyo famia haiwez kuwa kitu kimoja sembuse chama kila mtu kazaliwa na mama yake.Hao g55 hawana hoja,kama wanataka kuibiwa kura na CCM wakashiliki vyama vingine
Hili ***** mbona lenyewe linazungumzia siasa na kukemea viongozi kuzungumza mambo ya siasa, tena anazungumzia kesi ambayo iko mahakamani. Ndiyo maana miaka ile anasilimu waraabu walimfanya kitu mbaya sana.Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali
Hata kwenye ndoto Lissu HAWEZI kuwa Rais wa nchi hii.Hivi huyu haamini siku moja Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi,ataificha wapi aibu yake?
Wajinga kama hawa huwa hawasomi alama za nyakati