Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Kiongozi Mwaipopo amewataka Watanzania kusimama pamoja na kumuomba Mungu ili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, afungwe, akimshutumu kwa kusababisha madhara makubwa na machafuko nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mwaipopo ameeleza kuwa Tundu Lissu ni chanzo cha matatizo na kwamba kauli pamoja na matendo yake yamesababisha athari kubwa kijamii na kiuchumi, ikiwemo vifo vya watu na changamoto za kiuchumi kwa wananchi

"Mimi niwaambie Watanzania, kama kweli Watanzania tunaipenda nchi, simameni mpaze sauti kumuomba Mungu Lissu afungwe. Na mimi naomba Mungu Lissu afungwe, kwa sababu kasababisha madhara mabaya sana katika nchi, watu wamekufa."

"Watakaotajwa majina wafungwe! Hakuna huruma katika hasara. Watu wamefilisika nchi, wameshindwa kusomesha watoto kwa sababu ya CHADEMA, kwa sababu ya mdomo wa Lissu."


Your browser is not able to display this video.
 
Huyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
kama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi
 
Huyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Kwenye kuitetea CCm haijalishi utatumia mbinu gani kikubwa uitetee ccm, unakuwa huna hatia ... Ila usiwe against them ni jinai na uhaini mkubwa ndani ya nchi.
 
kama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanakutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi
Simply huna busara mbaya zaidi huna akili
 
Wala simshangai walikuwepo wengine kabla yake wanakupa ulinzi wa muda , wanakutumia wakimaliza wanakuacha.

Siku siyo nyingi Mwaipopo atakuja kujibu mwenyewe.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…