CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Unampromote huyo jamaa
yule jamaa ni comedian,Huyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Huyo chawa na kibaraka wa CCM wanataka kuleta mambo ya kidini kwenye hii nchiHuyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Yupo wapi Musiba??Machawa punguzeni shobo tafuta kazi ufanyekama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi![]()
wawapi huyo gentleman na alikua nani kwa mfano?🐒Yupo wapi Musiba??Machawa punguzeni shobo tafuta kazi ufanye
Atapotea kama Musiba.Mvumilie tu hana mwendo huyo mwishi 2030 atapoa kama maji ya mtungi
Huyo alikuwa chawa zaidi yako wewe aliwahi kuwatukana viongozi wengi wastaafu mwisho wa siku alitumika kama condom mwisho wa tendo unatupwa ndiyo itakavyokuwa kwako wewewawapi huyo gentleman na alikua nani kwa mfano?🐒
Gentleman,Huyo alikuwa chawa zaidi yako wewe aliwahi kuwatukana viongozi wengi wastaafu mwisho wa siku alitumika kama condom mwisho wa tendo unatupwa ndiyo itakavyokuwa kwako wewe
Yani wewe ni chawa usitarajie matokeo juu ya huo uchawa wakoGentleman,
binafsi sihusiki na hizo dhana useless sijui za unyumbu, ufuata mkumbo au uchawa,
to me that's hot air completely, politically speaking.
I'm professional and self-made politician of the modern times 🐒
Ameshahukumiwa utamke maneno hayo?kama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi![]()
nani huyo unaemzungumzia gentleman?🐒Ameshahukumiwa utamke maneno hayo?
Muogope Mungu... sheria ngap umewahi vunja? Ulikatwa mkono?
Sheria inataka kila mtu apewe utu wake na uwe tried kabla ya hukumu
Wewe ni nani?
Lissu amehukumiwa?nani huyo unaemzungumzia gentleman?🐒
gentleman,Yani wewe ni chawa usitarajie matokeo juu ya huo uchawa wako
sifahamu na wala sifuatilii masuala yake binafsi ya kihalifu.Lissu amehukumiwa?
Huyo ni subwoofer la Samia, kila asemacho ni maelekezo ya Samia mwenyewe.Huyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Na wewe utaacha tu uchawa kama hao waliacha na wewe utaachagentleman,
siwezi kubabaika na hiyo porojo my friend.🐒