binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Makubwa!
Sasa Lissu anyongwe sababu umma umepaza sauti au kwasababu amekutwa na hatia?
Sasa Lissu anyongwe sababu umma umepaza sauti au kwasababu amekutwa na hatia?
Kinembe chakokama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi![]()
I think that nonsense haihusiani na hoja mahususi mezani, right?🐒Kinembe chako
Unazo sifa nyingi sana za kujipachika tokea uingie JF, unazikumbuka?I'm professional and self-made politician of the modern times 🐒
Huyo ***** siku tukilianzisha ni wa kumuua mchana kweupe ili machoko wenzake wapate somo.Huyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Huyo ***** tutamshughulikia kama tutakavyowashughulikia nyinyi machoko ya lumumbakama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi![]()
Kama gari limekata center boltHahah anatembea upande upande kiunoni kuja juu kumeelekea kulia kiunoni kwenda chini kumeelekea kushoto.
sina haja ya kujipachika chochote gentleman, that's me politically and professionally speaking.Unazo sifa nyingi sana za kujipachika tokea uingie JF, unazikumbuka?
Mwisho wa siku umebaki kuwa mzoga tu wa nguruwe anayevunda mtaani, kiasi kwamba hata mapaka wanaogopa kufaidi mlo!
Hata hivyo, ishara zinaonyesha mabadiliko makubwa toka wakati ule (May 2023) na hapa uvundo wa mzoga ulipofikia wakati huu.
Ulijitangaza wewe ndiye Samia anayeingia JF; sasa baada ya mauaji ya waTanzania hali zenu wote wawili zimebadilika sana!
Na Bado!
Unajua kisheria, ulicho kiandika ni wewe umesema na sio MwaipopoHuyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Usiwe na shaka, utapata muda wa kutosha wa kujutia haya yote maovu aliyotenda Samia Suluhu Hassan, huku azidi kufanya uovu watu kama wewe mkimchochea.sina haja ya kujipachika chochote gentleman, that's me politically and professionally speaking.
Nashukuru Mungu kwa Neema na Baraka kwa hiki kipaji alichonijaalia bure, in fact nami nakitendea haki regardless ya mihemko, makasiriko na matusi ya baadhi ya pointless members wa JF, ambao ni ndugu na jamaa zangu wa kiTanzania.
I can not betray you regardless of your political, social and economic weaknesses.
I love you all, always 🐒
sina haja ya kubabaika na porojo na ramli useless kama hizo gentleman,Usiwe na shaka, utapata muda wa kutosha wa kujutia haya yote maovu aliyotenda Samia Suluhu Hassan, huku azidi kufanya uovu watu kama wewe mkimchochea.
Mnajisahaulisha kabisa maana ya kuwa waTanzania, na badala yake mnasukumwa na ajenda mbovu kabisa ambayo haitawafikisha huko mnakodhani mtafika.
Hujitambui tu, lakini dalili zote zinaonyesha wazi kwamba akili zinaanza kurudi kwa kujuwa mwelekeo unapokwenda.sina haja ya kubabaika na porojo na ramli useless kama hizo gentleman,
elezea vitu vingine plz 🐒
Sasa mbona unaexpose tu mihemko yako useless jukwaani dhidi ya waTanzania wanaosisitiza sheria za nchi kutekelezwa kama zilivyo, ikiwa kweli wewe unajitambua na ni muerevu?🐒Hujitambui tu, lakini dalili zote zinaonyesha wazi kwamba akili zinaanza kurudi kwa kujuwa mwelekeo unapokwenda.
Utababaika sana!
Wewe kama mzoga wa nguruwe unaovunda utajuwa vipi hiyo mihemko!Sasa mbona unaexpose tu mihemko yako useless jukwaani dhidi ya waTanzania wanaosisitiza sheria za nchi kutekelezwa kama zilivyo, ikiwa kweli wewe unajitambua na ni muerevu?🐒
relax bas gentleman,Wewe kama mzoga wa nguruwe unaovunda utajuwa vipi hiyo mihemko!

Nitarelax mhalifu Samia Suluhu Hassan akishawajibishwa kwa maovu yake kwa waTanzania. Hili usiwe nalo shaka kabisa.relax bas gentleman,
mihemko useless jukwaani inatosha sasa dah![]()