Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

kama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi
Yupo wapi Musiba??Machawa punguzeni shobo tafuta kazi ufanye
 
Huyo alikuwa chawa zaidi yako wewe aliwahi kuwatukana viongozi wengi wastaafu mwisho wa siku alitumika kama condom mwisho wa tendo unatupwa ndiyo itakavyokuwa kwako wewe
Gentleman,
binafsi sihusiki na hizo dhana useless sijui za unyumbu, ufuata mkumbo au uchawa,

to me that's hot air completely, politically speaking.

I'm professional and self-made politician of the modern times πŸ’
 
Yani wewe ni chawa usitarajie matokeo juu ya huo uchawa wako
 
kama anahamasisha sheria na katiba itekelezwe kama ilivyo dhidi ya wahalifu na wakiuka sheria mbalimbali wanaokutwa na hatia, mie nadhani anafanya kazi nzuri tu, unless mtu ana chuki nae binafsi
Ameshahukumiwa utamke maneno hayo?

Muogope Mungu... sheria ngap umewahi vunja? Ulikatwa mkono?
Sheria inataka kila mtu apewe utu wake na uwe tried kabla ya hukumu
Wewe ni nani?
 
Ameshahukumiwa utamke maneno hayo?

Muogope Mungu... sheria ngap umewahi vunja? Ulikatwa mkono?
Sheria inataka kila mtu apewe utu wake na uwe tried kabla ya hukumu
Wewe ni nani?
nani huyo unaemzungumzia gentleman?πŸ’
 
Mahakama unaweza kutoa hukumu na maamzi Kwa shinikizo la Mwaipopo.
Kesi iliyoko mahakamani haipaswi kujadiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…