Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

Huyu shehe mwaipopo ninani katika zama hizi za kudai haki ,
Ni kweli hakuna vyombo vya kushughulika nae kwa uchochezi huu anaohamasisha kwenye umma.
Namkumbuka Cyprian Musiba (ndugu yangu huyu) naye alifikia hatua ya kutaka ZZ KABWE auawe.
Sijui siku hizi huyu Mwana harakati huru hayuko huru ama yuko wapi!
 
Suala si kunyongwa tu. Ikibidi na hicho chama cha makafiri ( wavunjifu wa amani) kifutiliwe mbali.
 
Mimi nakuombeaa wewe unyongwe. Na Watanzania Mwombeeni Mwaipopo anyongwe.
 
Huyu sheikh anakaribia kufa.
 
Kama huyu anachowaza muda wote ni kuuwa, kutahiri, kuchinja na kuumiza, nikimuita mwehu nitakosea.

Hana jambo la kuelimisha zaidi ya mauaji???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…