PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Nimesikitika TEC kuita ‘Vurugu’ za Oktoba 29 kuwa ‘Maandamano’

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
HATA SIKU MOJA sijawahi kusikia TEC wakiwashambulia WAISLAM kuhusu mambo yao na Serikali. Ila cha ajabu Taasis za Kiislam na masheikh uishambulia sana TEC inavyodai haki toka serikalini. Hii ni kwa nini? Uchokozi? Ni vizuri TEC wasijibu.

Mngekua na nyie mnatafuta upande wenu kusindikiza serikali ifanye haki, hii ingesaidia sana Taifa. TEC wamefanya kazi nzuri lakini hawa jamaa wanawapa Serikali nafasi ya kutokea.
TEC walitakiwa kusema zile ni vurugu na si maandamano,kuvamia vituo vya kura,kukimbia na masanduku ya kura, kupiga watu,kuvichoma moto, kuchoma moto mali na miundombinu,siyo maandamano,ni vurugu, uhalifu,walitakiwa kukemea
 
Shekhe mjinga sana kasema Kuna viongozi walisema WATAKINUKISHA hajui kama aliesema ATAKINUKISHA yupo mahakamani kwa maneno yake hayo??

Tulitaka pia kama mtu kafanya vurugu(sio maandamano) nae apelekwe mahakamani,sio Kupigwa risasi..

Kama vile NIFFAH yupo mahakamani kisa ku dance,utawala wa haki na Sheria inatakiwa uwe hivyo,mtu aki dance Rais hajapenda moves apelekwe mahakamani..
 
Huyu na BAKWATA yake wamewahi kupaza sauti kweli hata kipindi Masheikh wa UAMSHO wanateseka jela?

Watu ambao hata kutetea HAKI za watu wao wameshindwa unategemea wataweza kutetea maslahi ya watu wa imani zote?

UISLAMU una Masheikh waliosoma kibao lakini sielewi ni kwanini hawapewi nafasi.
Unamaanisha kupewa nafasi bakwata?

Bakwata ni CCM B.

Wanaowachagua lazima wawe na akili za ki CCM.
 
TEC walitakiwa kusema zile ni vurugu na si maandamano,kuvamia vituo vya kura,kukimbia na masanduku ya kura, kupiga watu,kuvichoma moto, kuchoma moto mali na miundombinu,siyo maandamano,ni vurugu, uhalifu,walitakiwa kukemea
Hizo vurugu zilifanyika majumbani kiasi kwamba police wakaenda kupiga risasi ndani ya makazi ya watu?
 
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.

Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.

Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.

"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.

Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.

Kwa kweli napata shida sana kuwaelewa hawa watu wanaodai kuwa MO29 ilikuwa ni vurugu. Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote ni wakati gani na kwa vijana waliamua kuanza kiuchoma vituo vya mafuta au ofisi za CCM.

Pia napata shida sana kuwasikiliza haa watu wanaowalaumu WALIOUAWA bila kuwataja waliouwa. Hivi kuna ushahidi gani kuwa hao waliouawa ndiyo waliochoma hivyo vituo. Kwa nini hawakukamtwa wakati wanafanya hayo matukio badala ya kuhukumiwa kifo staright away. Pia , ni kwa nini Vijana wengi waliokamatwa hawakukamatwa kwenye maandamano na kukamatwa majumbani mwao. Police walikuwa wapi wakati wa maandamano? Hatukuona magari ya WASHAWASHA AU MABOMU YA MACHOZI mengi yakitumika.
 
Kama ni shekhe wa BAKWATA, wala msishangae, maana kule inawekwa mijitu mijinga iliyojaa unafiki, isiyojitambua ili iimbe nyimbo za CCM.

Wananchi nchi hii wamedhulumika sana:

1. Wamejenga barabara na kununua mabasi ya mwendokasi kwa kodi zao, halafu eti anakabidhiwa mwarabu kuendesha ili anufaike na faida inayotokana na uwekezaji wa mtamganyika, kwa nini watu wasiwe na hasira na hao waliogawa mwendokasi kwa waarabu, na mradi wenyewe kwa ujumla?

2. Watanzania wanalipa kodi, halafu kodi zinaibwa, zinafisadiwa, kisha familia ya Jakay inajenga vituo vya mafuta nchi nzima, kwa nini watu wasiwe na chuki na Lak ambayo wanajua imetengenezwa kwa pesa zao lakini faidia inaliwa na failmilia ya Jakay?

Watu wanajua kuwa mshahara wa Waziri hauzidi 20m, halafu Mwiglu anamiliki timu, anawalipa baadhi ya wachezaji 20m kwa mwezi, anaingiza mabasi 30 kwa mpigo, huku hana mradi wowote wa kuelezea vyanzo vyake vya mapato. Wananchi wanajua kuwa hela iliyotumika kununulia hayo mabasi ni pesa yao ambao huyu bwana ameipora. Kwa hiyo wameharibu kilicho chao, kisicho na faida kwao, kwa sababu fisadi amekipora.

Kuna watu ambao ni kweli mali zao zimeharibiwa, lakini biashara nyingi zililizoharibiwa, kulikuwa na sababu ya kufanya hivyo.
 
Yesu kasoma shule gani
Yesu alisoma Khemet code walivyoenda Khemet kuishi,pia alikua chini ya uangalizi wa Waalimu wa sheria na tamaduni za kiyahudi kama ilivyo desturi zao enzi hizo,kwa sababu alitokea koo ya kifalme yaani mfalme Daudi hao generation yao walikua na maarifa na IQ kubwa sana refer Dogo akiwa na miaka 12 alikua Ana battle na Mafarisayo na waalimu wa sheria hekaruni na wakashangaa wanafundishwa vitu ambavyo hawavijui na wanavyovijua wao wamevisoma kwa miaka mingi!
 
Hizo vurugu zilifanyika majumbani kiasi kwamba police wakaenda kupiga risasi ndani ya makazi ya watu?
Unaruka hoja ya msingi kwa kuwa jibu huna,tokeni hiyo 9D mtafumuliwa tena mafuvu
 
Badala ya kushambulia na kupiga kelele kuhusu watekaji na wauaji, yeye anashambulia wasiohusika, ameeleweka asante
 
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.

Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.

Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.

"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.

Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.

Niwaambie SIRI Ukiisha sikia tu ISLAMIC FOUNDATION fulani UJUE hao ni Agents wa MUSLIM BROTHERHOOD. Uingereza na Marekani sasa hivi ndiyo wanagh'amua siri hizo.
Islamic foundations za usa:
1. Zakat Foundation of America,
2. ICNA Relief USA,
3. Council on American-Islamic Relations (CAIR), and
4. International Institute of Islamic Thought (IIIT).
Zote hizi kwa sana zinachunguzwa kwa sababu zimejihusisha sana na brainwashing ya wahadhili na vijana katika vyuo vikuu vya Marekani
Pesa wanapata kutoka Qatar na Uturuki.
Hivyo hawa maislamists nchini mwetu na wao tuwatilie mashaka hayo
 
Huyu ndiye mchochezi halisi.

Hawezi kuanza kusahihisha tamko lililokwisha kutolewa na wenzake la kulaani mauaji ya halaiki, ikiwa yeye hakemei chochote kuhusiana na mauaji hayo.

Kwa nini viongozi wa dini msiwe kitu kimoja kutetea wananchi?

Hawa mashehe ubwabwa wanataka kuliingiza taifa letu kwenye mpasuko usioweza kushoneka wa kidini.
 
Niwaambie SIRI Ukiisha sikia tu ISLAMIC FOUNDATION fulani UJUE hao ni Agents wa MUSLIM BROTHERHOOD. Uingereza na Marekani sasa hivi ndiyo wanagh'amua siri hizo.
Islamic foundations za usa:
1. Zakat Foundation of America,
2. ICNA Relief USA,
3. Council on American-Islamic Relations (CAIR), and
4. International Institute of Islamic Thought (IIIT).
Zote hizi kwa sana zinachunguzwa kwa sababu zimejihusisha sana na brainwashing ya wahadhili na vijana katika vyuo vikuu vya Marekani
Pesa wanapata kutoka Qatar na Uturuki.
Hivyo hawa maislamists nchini mwetu na wao tuwatilie mashaka hayo
Mtabweka sana na bado!
 
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.

Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.

Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.

"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.

Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.

Ana elimu gani?
 
Na wale waliopiga risasi watu unawahitaje ? Sababu hata wafanya vurugu taratibu tulizojiwekea sio kuwapiga risasi...

Badala ya kutafuta suluhisho tunaendelea kuleta maumivu - Tuchunge sana Kauli zetu wakati huu wa Hatari
 
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.

Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.

Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.

"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.

Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.

Elimu yake ya Madrassa, ila kwa sababu ana mdomo anajua kuutumia kumsaidia bi Kizimkazi. Ovyo sana hawa masheikh ubwabwa.
 
Back
Top Bottom