gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
TEC walitakiwa kusema zile ni vurugu na si maandamano,kuvamia vituo vya kura,kukimbia na masanduku ya kura, kupiga watu,kuvichoma moto, kuchoma moto mali na miundombinu,siyo maandamano,ni vurugu, uhalifu,walitakiwa kukemeaHATA SIKU MOJA sijawahi kusikia TEC wakiwashambulia WAISLAM kuhusu mambo yao na Serikali. Ila cha ajabu Taasis za Kiislam na masheikh uishambulia sana TEC inavyodai haki toka serikalini. Hii ni kwa nini? Uchokozi? Ni vizuri TEC wasijibu.
Mngekua na nyie mnatafuta upande wenu kusindikiza serikali ifanye haki, hii ingesaidia sana Taifa. TEC wamefanya kazi nzuri lakini hawa jamaa wanawapa Serikali nafasi ya kutokea.
Yesu mama yake Maryam. Mungu anamama?Unauliza Mungu alisoma wapi, are serious sheikh?
Unamaanisha kupewa nafasi bakwata?Huyu na BAKWATA yake wamewahi kupaza sauti kweli hata kipindi Masheikh wa UAMSHO wanateseka jela?
Watu ambao hata kutetea HAKI za watu wao wameshindwa unategemea wataweza kutetea maslahi ya watu wa imani zote?
UISLAMU una Masheikh waliosoma kibao lakini sielewi ni kwanini hawapewi nafasi.
Hizo vurugu zilifanyika majumbani kiasi kwamba police wakaenda kupiga risasi ndani ya makazi ya watu?TEC walitakiwa kusema zile ni vurugu na si maandamano,kuvamia vituo vya kura,kukimbia na masanduku ya kura, kupiga watu,kuvichoma moto, kuchoma moto mali na miundombinu,siyo maandamano,ni vurugu, uhalifu,walitakiwa kukemea
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.
Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.
Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.
"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.
Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.
Labda utuambie wew nin unajuaMungu!😆🤣😆🤣🤣
Yesu alisoma Khemet code walivyoenda Khemet kuishi,pia alikua chini ya uangalizi wa Waalimu wa sheria na tamaduni za kiyahudi kama ilivyo desturi zao enzi hizo,kwa sababu alitokea koo ya kifalme yaani mfalme Daudi hao generation yao walikua na maarifa na IQ kubwa sana refer Dogo akiwa na miaka 12 alikua Ana battle na Mafarisayo na waalimu wa sheria hekaruni na wakashangaa wanafundishwa vitu ambavyo hawavijui na wanavyovijua wao wamevisoma kwa miaka mingi!Yesu kasoma shule gani
Mungu akamlilia Mungu msalabaniLabda utuambie wew nin unajua
😂😂😂😂
Unaruka hoja ya msingi kwa kuwa jibu huna,tokeni hiyo 9D mtafumuliwa tena mafuvuHizo vurugu zilifanyika majumbani kiasi kwamba police wakaenda kupiga risasi ndani ya makazi ya watu?
Niwaambie SIRI Ukiisha sikia tu ISLAMIC FOUNDATION fulani UJUE hao ni Agents wa MUSLIM BROTHERHOOD. Uingereza na Marekani sasa hivi ndiyo wanagh'amua siri hizo.Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.
Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.
Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.
"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.
Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.
Huyu ndiye mchochezi halisi.Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.
Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.
Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.
"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.
Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.
Mtabweka sana na bado!Niwaambie SIRI Ukiisha sikia tu ISLAMIC FOUNDATION fulani UJUE hao ni Agents wa MUSLIM BROTHERHOOD. Uingereza na Marekani sasa hivi ndiyo wanagh'amua siri hizo.
Islamic foundations za usa:
1. Zakat Foundation of America,
2. ICNA Relief USA,
3. Council on American-Islamic Relations (CAIR), and
4. International Institute of Islamic Thought (IIIT).
Zote hizi kwa sana zinachunguzwa kwa sababu zimejihusisha sana na brainwashing ya wahadhili na vijana katika vyuo vikuu vya Marekani
Pesa wanapata kutoka Qatar na Uturuki.
Hivyo hawa maislamists nchini mwetu na wao tuwatilie mashaka hayo
Ana elimu gani?Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.
Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.
Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.
"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.
Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.
Elimu yake ya Madrassa, ila kwa sababu ana mdomo anajua kuutumia kumsaidia bi Kizimkazi. Ovyo sana hawa masheikh ubwabwa.Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini, akiitaka TEC kuachana na matamko aliyodai kuwa yanachochea ghasia na hasira.
Sheikh Mziwanda amebainisha hayo Jumapili Novemba 16, 2025 Jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari, akirejea kauli ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliowahi kueleza kuwa Oktoba 29 wangekinukisha, kufanya uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu.
Akirejea kauli ya Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, Sheikh Mziwanda amehoji lilipokuwa baraza hilo wakati kile alichokiita kauli za chuki, hasira na hamasa zilipokuwa zikitolewa na baadhi ya wanasiasa, huku pia akieleza kusikitishwa na namna ambavyo TEC hawajaeleza chochote kuhusu uharibifu na wizi wa mali za umma na za watu binafsi uliotokea hapo Oktoba 29.
"Kuna wakati hadi unauliza au baraza linahusika? kwasababu mapito wanayopita TEC yanatutia mashaka. Na mimi niwazindue wananchi kwamba yale hayakuwa maandamano kwa mujibu wa waasisi wa tukio lile kwasababu wao walisema wanaenda kukinukisha. Mimi niombe hata kama viongozi wa dini tunashiriki kwenye harakati basi tuzingatie harakati zenye maslahi kwa nchi yetu." Amesema Sheikh Mziwanda.
Mziwanda ameliomba Baraza la Maaskofu kusimama katika nafasi yao ya kushirikiana na serikali katika kuijenga nchi, akiwataka yale yote yanayoashiria amani waliunge mkono na yote yenye kuhatarisha amani wayakemee ikiwamo kauli zilizokuwa zikitolewa mapema za kuhamasisha na kutangaza kuhusu vurugu na ghasia hizo za Oktoba 29, 2025.
Kwanza haujavaa hijabMtabweka sana na bado!