GE2025 Sheikh Nassor Yahya: Kila mmoja ahamasishe mwenzake akapige Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Sheikh wa mkoa wa Singida Nassor Yahya amefafanua umuhimu wa kupiga kura ambapo amesema “tukamchague kiongozi tunaemtaka na tusipofanya hivyo atachaguliwa kiongozi tusiemtaka sisi”

Sheikh Nassoro amezungumza hayo kwenye Kongamano la Viongozi wa Dini mbalimbali kuliombea Taifa Amani na Utulivu kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 29 na kuhimiza umuhimu wa kutunza amani.

Kumbuka kwa sasa vyama mbalimbali vya siasa nchini vinaendelea kunadi sera zao zao wa Watanzania ili kuomba ridhaa ya kuchaguliwa huku wananchi wakijiandaa na zoezi la upigaji wa kura huku zikiwa zimeslia siku 4 kwa ajili ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu.

Ni humu tu MO29
 
View attachment 3493431
Achana na madrasa
 
Back
Top Bottom