Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Unaujua upande wa kushoto?Aseme anachotaka kusema asifumbefumbe like a little bitch.
Kwa nini watu hawasemi wanachotaka kusema wanafumbafumba?Unaujua upande wa kushoto?
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...Kwa nini watu hawasemi wanachotaka kusema wanafumbafumba?
Kwa nini nianze ku guess upande wa kushoto gani?
Kwa nini hakusema anamaanisha nini?
Kwa nini anaacha nafasi ya kunukuliwa vibaya wakati aliweza kunyoosha maneno na kuondoa nafasi hiyo?
This ia stupid hedging.
Ni kama kijitu kioga kinataka kusema kitu halafu kinaogopa kinasema kwa mafumbomafumbo.
Muislamu gani anaogopa hivi?
V no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...
Hili ni bomu jingine linatengenezwa.
Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...
Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....
Hawa ndo washenzi wanaotumwa na Samia kupandikiza udini. Walivyo washenzi wamepandikiza hadi udini kati ya Samia na Nchimbi.Aseme anachotaka kusema asifumbefumbe like a little bitch.
Mungu hayupo mkuu.Hawa ndo washenzi wanaotumwa na Samia kupandikiza udini. Walivyo washenzi wamepandikiza hadi udini kati ya Samia na Nchimbi.
Kweli Mungu yupo kazini. Ni suala la muda tu. Hawa hawatakuwa madarakani tena.
Kama hujaona namna huu utawala ulivyofitinika hadi sasa utakuwa bado sana.Mungu hayupo mkuu.
Angekuwapo raia wasio na hatia wasingeuawa kinyama vile.
Huelewi wapi?
Mungu angekuwapo utawala huu usingewezekana kuwapo kabisa.Kama hujaona namna huu utawala ulivyofitinika hadi sasa utakuwa bado sana.