njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Na hawajasoma kweli kazi yao kubwa ni hiiV no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...
Hili ni bomu jingine linatengenezwa.
Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...
Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....