PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu shekhe anatakiwa kurudi kwao sudani asitupigie makerere
 
Vyovyote mtakavyotafsiri
Kama mnataka hio vita, sisi tuko poa sana na tunaiweza, na uzuri tunazungukwa na kambi za mafunzo Mozambique, Kenya na Congo.
Mnaongea ujinga ujinga mwingi kuhusu waislamu, mkikabiwa kwa juu mnalialia udini
Na hio elimu gani mliosoma za ya teolojia ya ngano za kale.
 
Wakuu

Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto.

Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande wa kushoto.

View attachment 3512543
Kukosa akili ni hasara kubwa, wanae mpigania na wao
 
Dini ya hovyo sana hii. Ndio maana USA kafanikiwa kuwagawa waarabu kila kukicha hawaishi kupigana vita.
Badala ya kuangalia mambo ya msingi watu wanayoyasemea kuhusu haki,katiba mpya na tume huru uchaguzi wao wanaleta mambo ya udini. Yaani Kiongozi akikosea asisemwe kwa sababu ni dini fulani.!!?.
Nyie si ndio mnasemaga dini yenu ni dini ya haki!?.
Hivi mnajua jinsi haki inavyoporwaga kwenye chaguzi zetu. Mnajua tuna ushaidi mkubwa jinsi wizi na udanganyifu wa kura za uraisi zilizopelekea apate ushindi wa mchongo wa 97%.
Kwa hiyo nyie kwa mtazamo wenu mnataka nchi iendelee hivi hivi kwa kupora maamuzi ya Wananchi na kumpa raisi mamlaka ya Mungu mtu!?.
 
Ndiyo unavyojidanganya na kujipa tamaa.. subiri liwake ndiyo utajua ukweli.. wakisto na Waislamu Katu hawako.kitu kimoja ..Sasa kitima yeye amesema nini? Hiyo PhD yake si ya biblia au amesema PhD ya quantum mechanics. Mnajua mnaUngumza vituo vya kipuuzi.. huyo unayemwita msoni Ninyule anayosema Yesu ni mungu then anasema Yesu no mwananwa mungu..
Lini Kitima kaongelea uislam? Yeye analalamikia utekaji na uuaji, na responsibility ya serikali kwa raia. Sasa nyie kinawawasha nini? Rais si wawaislam ni wa wote unataka Kitima amlalamikie nani?

Ludicrous
 
V no no I mean
Iko hivi sasa hivi tunakoenda ni kubaya sanaaa kuna watu wanadharau sana upande mwinginr kwamba viongozi wao hawajasoma kama father K kazi yao kula ubwabwa wavaa makobazi ya dharau juu ya dharau...

Hili ni bomu jingine linatengenezwa.

Huko kwenye mimbar panazungimzwa mengi saa ya machafuko hayataangalia huyu kasoma madrasa huyu ana PHD...

Haya tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini....

Mpaka sasa mashekhe ubwabwa wa BAKWATA wanalazimisha waislam wawe na chuki dhidi ya wakristo. Jambo lililo hema ni kuwa hakuna muumini wa kawaida muislam ameukubali huo ushenzi wa mashakhe wa BAKWATA. Hawa ni mashekhe bandia, mashekhe waliotengenezwa na CCM kwa manufaa ya kisiasa, hawapo kwaajili ya uislam wala waislam. Mashekge halisia, sawa na viongozi wa dini ya kikristo wanaongelea dhuluma za watawala dhidi ya wananchi.

Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa dhehebu la kikristo amewahi kumsema vibaya kiongozi wa waislam na waislam kwa ujumla. Mpaka sasa, hakuna shekge wa waislam aliyewahi kuwasema vibaya wakristo. Ni hao tu mashekhe bandia, mashekhe wa CCM, wanaoniita mashekhe wa BAKWATA, wao kila siku wamekazana kumwandama Padri Kitima na wakristo kwa ujumla.

Wakristo na waislam kwa ujumla, tuwadharau hawa mamluki wa CCM kupitia BAKWATA. Watanganyika wote ni wamoja katika dhulumu, watawala dhalimu wanatudhulumu sisi sote, hawaangalii wewe ni wa dini gani. Alitekwa Kibao, ni muislam, alitekwa Soka na Mdude ni wakristo, wameuawa maelfu ya waislam, maelfu ya wakristo mwezi October. Wametekwa na kubambikiwa kesi za uhai wakristo na waislam. Ni mwendawazimu pekee anayeweza kuamini kuwa hawa watawala dhalimu wanawapenda sana au kuwachukia sana watu wa dini fuĺani. Kilicho dhahiri, hawa watawala dhalimu wanamchukia kila mtu anayetaka nchi yetu iwe na mifumo ya haki.
 
Mbona hizi story za nchi ilikombolewa na waislamu zimekuwa nyingi?? Mara ikulu ya Dar Es Salaam ilikuwa madrasa kuna nini kinaendelea?? Hivi ingekuwa rais wa kwanza nyerere angekuwa muislamu ingekuwaje .? Kuna kitu nahisi kinaendelea huko kwa waislamu ambacho sio kizuri kabisa ndani ya hii nchi yetu,tuwe macho,vyombo vichukue hatua haraka
Vyombo gani hivyo unamaanisha? Yaani Uislamu umeingiliwa na Maislamists ambao wao agenda yao ni Muslim conquest, Kikwete ndiye muasisi ⌚️ 💯 muumini muaminifu na mtekelezaji wa hiyo agenda. Yaani Boko Haramu wamejaa tele Tanzania
Screenshot_20251205_171527_Chrome(1).jpg
 
Ndiyo unavyojidanganya na kujipa tamaa.. subiri liwake ndiyo utajua ukweli.. wakisto na Waislamu Katu hawako.kitu kimoja ..Sasa kitima yeye amesema nini? Hiyo PhD yake si ya biblia au amesema PhD ya quantum mechanics. Mnajua mnaUngumza vituo vya kipuuzi.. huyo unayemwita msoni Ninyule anayosema Yesu ni mungu then anasema Yesu no mwananwa mungu..
Hivi Uislam unasemaje kuhusu mwanamke kuongoza wanaume? Kama ni watu wa kutetea dini kwanini kwanza msipiganie katika hili?

Waliofanya maandamano je wote ni wakristo hakukuwa na waislamu?
Vipi waliopoteza maisha je wote ni wakristo hakukuwa na waislamu? Kwanini hampazi sauti kuhusu hili la watu kuuliwa?

Kitima hakutoa hoja ya kutetea ukristo bali wamewasemea wananchi wote ila nyie wajinga mnaangalia je kauli imetoka kwa dini ipi.

Mimi ni muislam ila kiukweli nakereka na ujinga na upuuzi huu wakutumika kidini kuleta migongano wakati wenzetu wanapambnia wananchi.
 
Wewe si muislamu wewe ni.mpuuzi Tu.. wewe ndiyo unatumia Ku justify aliyoyafanya au ya ayoendelea kufanya na TEC.. tatizo ninwaislamu kama wewe ( kama ni kweli) Kwa Sababu huna u ezo WA kuangalia big picture beyond kudai haki na kumefichikana nini? Kwa hivyo India upuuzi wako huu
 
Back
Top Bottom