Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Zanzibar gani hyo unayosem wewe wacha kupandikiza mambo ya dini leo kamuangalie mombasa kwa mchin mskitin kwake kama hutomuona.... Tuwekee huo ushahid wakufukuzw basi tukuamini mleta mada..
 
Hmm! Hapo kwenye ndoto ndio shida, hukumbuki kuna mwingine huko Arusha aliswekwa mahabusu mitano (kama sikosei) kwa sababu ya hizi ndoto? Hata hivyo huyu shehe ana bahati sana kutimuliwa bila kuonja mahabusu...
 
Nimefurahi kweli kwa sababu nia yako ya kutaka lete chokochoko ya kidini hujafanikiwa. Ati asilimia 99.2 ya wazanzibari ni waislamu. Kwa hivyo ikiwa hivyo ndo muuliwe?? Badili mtizamo wako kwanza. Kutimuliwa kwake hakuna uhusiano na idadi ya waislam Zenj.
Hata wooooote wengelikuwa waislam, kama unalete chokochoko lazima utimuliwe. Kwanza serekali imemuonea huruma sana. Miaka 20 kwenu huendi?? Sasa unarudi mwenyewe bila kupenda.
Aende tu atuachie nchi yetu tuliozaliwa hapa. Hata huko kwao wanahitaji kuueneza uislam. Si unaona wanavyofanyiwa waislam huko?? Sasa hapo Zanz anaeneza nini?? Ati ana wanafunzi, wa nini??
 
kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Aisee we mkaree!!??hadithia uone junejully[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Ha ha ha!!
 
Hmm! Hapo kwenye ndoto ndio shida, hukumbuki kuna mwingine huko Arusha aliswekwa mahabusu mitano (kama sikosei) kwa sababu ya hizi ndoto? Hata hivyo huyu shehe ana bahati sana kutimuliwa bila kuonja mahabusu...
Hahaha dah kweli tupu
 
Gwiji wa historia katika dini huyo Allah amjaze subra na uvumilivu pia maono yake yafanyiwe kazi, yaani kaota siku tatu mfululizo!! hapo kuna ukweli ndani yake
Gwiji la historia na kipenzi cha wingi, la zaidi ya super star huku visiwani
 
Zanzibar gani hyo unayosem wewe wacha kupandikiza mambo ya dini leo kamuangalie mombasa kwa mchin mskitin kwake kama hutomuona.... Tuwekee huo ushahid wakufukuzw basi tukuamini mleta mada..
Nadhani khutba zake za mwisho mwisho aliitaka serikali itende haki na mshindi apewe haki yke ambapo ni zaidi ya mwaka sasa.
 
Aende tu kwao serikali ndio yenye mamlaka basi mie nilijua kwao ni znz..khaa aende tu asituletee chuki sie tunapendana wakristo kwa waislam apeleke chuki zake huko kwao.akwendree tu.
 
Huyu sheikh ni raia wa kenya lakin ameishi zanzibar zaidi ya miaka 20
Ndivo ilivo mkuu. Huwezi kuwa ugenini then uanze kuingilia mambo ya ndan ya wenyeji wako, lazima utimuliwe.

Kwa hiyo serikali iko sahihi. Huwezi kuwa mgen then uanze kuingilia mambo ya ndan ya watu. Nchi haziendeshwi kwa kuoneana aibu kama unavodhan.
 
Nadhani khutba zake za mwisho mwisho aliitaka serikali itende haki na mshindi apewe haki yke ambapo ni zaidi ya mwaka sasa.
Basi futa kauli kama kafukuzwa maana hakuna ukweli juu ya hayo unayoyasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…