MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Yaani watu wanabishania ndoto tutaaminije kua aliota?
hahahahhahaha hoja haina mashiko kbs!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu wanabishania ndoto tutaaminije kua aliota?
Ni raia wa Commoro kama sikosei.Huyu sheikh ni raia wa kenya lakin ameishi zanzibar zaidi ya miaka 20
khaa!Huyu sheikh ni raia wa kenya lakin ameishi zanzibar zaidi ya miaka 20
Zanzibar gani hyo unayosem wewe wacha kupandikiza mambo ya dini leo kamuangalie mombasa kwa mchin mskitin kwake kama hutomuona.... Tuwekee huo ushahid wakufukuzw basi tukuamini mleta mada..Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim
*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*
Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2
Licha ya kuwa sheikh othman maalim akifanya kazi zenu zote za kisiasa na akikutumikieni hadi kwenye matangazo ya vyandarua lakini hiyo ndio inaitwa fanya wema nenda zako usingoje shukurani Sheikh othman ameacha kazi zake makaazi yake wanafunzi wake na watu wake wa karibu lkn kwa kuambiwa ukweli tu serekali imeamua kumtimua
Hmm! Hapo kwenye ndoto ndio shida, hukumbuki kuna mwingine huko Arusha aliswekwa mahabusu mitano (kama sikosei) kwa sababu ya hizi ndoto? Hata hivyo huyu shehe ana bahati sana kutimuliwa bila kuonja mahabusu...*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*
Aisee we mkaree!!??hadithia uone junejully[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Ha ha ha!!kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Gwiji la historia na kipenzi cha wingi, la zaidi ya super star huku visiwaniGwiji wa historia katika dini huyo Allah amjaze subra na uvumilivu pia maono yake yafanyiwe kazi, yaani kaota siku tatu mfululizo!! hapo kuna ukweli ndani yake
Nadhani khutba zake za mwisho mwisho aliitaka serikali itende haki na mshindi apewe haki yke ambapo ni zaidi ya mwaka sasa.Zanzibar gani hyo unayosem wewe wacha kupandikiza mambo ya dini leo kamuangalie mombasa kwa mchin mskitin kwake kama hutomuona.... Tuwekee huo ushahid wakufukuzw basi tukuamini mleta mada..
Ndivo ilivo mkuu. Huwezi kuwa ugenini then uanze kuingilia mambo ya ndan ya wenyeji wako, lazima utimuliwe.Huyu sheikh ni raia wa kenya lakin ameishi zanzibar zaidi ya miaka 20
Basi futa kauli kama kafukuzwa maana hakuna ukweli juu ya hayo unayoyasemaNadhani khutba zake za mwisho mwisho aliitaka serikali itende haki na mshindi apewe haki yke ambapo ni zaidi ya mwaka sasa.