Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Hyo ndoto yake apeleke
Kwa uncle zake Iss

Tanganyika hatutak ujinga
Wa wajinga
 
Yule nchi za kule ni mwenyeji moja wapo ya mambo zake (kwa kuwasikia watu) kuwa hufanya kazi ya kuwaongoza mahujaji maeneo ya kihistoria kwa dini ya kiislam maana yasemekana ni mbobezi wa historia ya dini ya kiislam na jiografia yake!
 
Yule nchi za kule ni mwenyeji moja wapo ya mambo zake (kwa kuwasikia watu) kuwa hufanya kazi ya kuwaongoza mahujaji maeneo ya kihistoria kwa dini ya kiislam maana yasemekana ni mbobezi wa historia ya dini ya kiislam na jiografia yake!

Yeye anakuja oman sio saudia usichanganye mambo
 
kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Umenivunja mbavu aisee duu hii kali sana
 
SHheke alijisahau sana.Ukiwa nchini kwa watu lazima uendane na mazingira,ukijifanya mjuaji unatenguliwa tu.Aende akaote kenya ndoto zake kama hajauawa na serikali ya kenya
 
Nyie mizanzibar hovyo sana, mnajidai kuhubiri dini kumbe mna yenu mbambo. Naona unasifia magaidi yaliyokuwa yanatuulia wakristo wenzetu huko Zanzibar. Halafu usiilaumu Serikali ya sasa kwa kisingizio cha udini kwani hao Uamsho walikamatwa Enzi za utawala wa muislamu mwenzenu.
 
Kumbe uamsho waliua wakristo, mie nlikua sijui
 

Exactly mamaudaku,,,, OMAN, AMANI, IMANI,,,,Wa Omani wanaimani mnoo tofauti na nchi zingine za kialabu
 
Shekh Othman Maalim, ana elim ya dini mpaka raha. Kwahakika kila nikimsikiliza natamani kumsikiliza zaidi. Anawasilisha mada zake kwa utaratibu, upole na weledi wa hali ya juu. Kwangu mimi ndiye sheikh ninaependa mawaidha yake kuliko sheik yeyote yule.

Kama ni kweli, Allah ampe subra na kheri kokote atakakokuwa ili aendelee kutupa darasa adhwim kabisa.
 

Tutashuhudia mengi
  • Ina maana hiyo nchi haina sheria na vyombo vya kisheria
  • Je aliyefanya hilo ni kiongozi wa kikristo au?
 
Unamfukuzaje mtu kwenye nchi yake??Ukiona hivyo hakuwa mzanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…