Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule nchi za kule ni mwenyeji moja wapo ya mambo zake (kwa kuwasikia watu) kuwa hufanya kazi ya kuwaongoza mahujaji maeneo ya kihistoria kwa dini ya kiislam maana yasemekana ni mbobezi wa historia ya dini ya kiislam na jiografia yake!Kila kitu Allah ndio anavyopanga labda kheri kwake Allah anazidi kumfungulia oman na hakika ataishi vizuri kuliko znz na shekhe khalili atampokea atakuwa na maisha bora zaidi na kuendeleza uislam ukizingatia oman wengi huongea kiswahili neno la Allah litaenea
Yule nchi za kule ni mwenyeji moja wapo ya mambo zake (kwa kuwasikia watu) kuwa hufanya kazi ya kuwaongoza mahujaji maeneo ya kihistoria kwa dini ya kiislam maana yasemekana ni mbobezi wa historia ya dini ya kiislam na jiografia yake!
Umenivunja mbavu aisee duu hii kali sanakwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Nyie mizanzibar hovyo sana, mnajidai kuhubiri dini kumbe mna yenu mbambo. Naona unasifia magaidi yaliyokuwa yanatuulia wakristo wenzetu huko Zanzibar. Halafu usiilaumu Serikali ya sasa kwa kisingizio cha udini kwani hao Uamsho walikamatwa Enzi za utawala wa muislamu mwenzenu.Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim
*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*
Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2
Licha ya kuwa sheikh othman maalim akifanya kazi zenu zote za kisiasa na akikutumikieni hadi kwenye matangazo ya vyandarua lakini hiyo ndio inaitwa fanya wema nenda zako usingoje shukurani Sheikh othman ameacha kazi zake makaazi yake wanafunzi wake na watu wake wa karibu lkn kwa kuambiwa ukweli tu serekali imeamua kumtimua
Kumbe uamsho waliua wakristo, mie nlikua sijuiNyie mizanzibar hovyo sana, mnajidai kuhubiri dini kumbe mna yenu mbambo. Naona unasifia magaidi yaliyokuwa yanatuulia wakristo wenzetu huko Zanzibar. Halafu usiilaumu Serikali ya sasa kwa kisingizio cha udini kwani hao Uamsho walikamatwa Enzi za utawala wa muislamu mwenzenu.
Kila kitu Allah ndio anavyopanga labda kheri kwake Allah anazidi kumfungulia oman na hakika ataishi vizuri kuliko znz na shekhe khalili atampokea atakuwa na maisha bora zaidi na kuendeleza uislam ukizingnatia oman wengi huongea kiswahili neno la Allah litaenea
Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2
Unamfukuzaje mtu kwenye nchi yake??Ukiona hivyo hakuwa mzanzibarKatika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim
*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*
Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2
Licha ya kuwa sheikh othman maalim akifanya kazi zenu zote za kisiasa na akikutumikieni hadi kwenye matangazo ya vyandarua lakini hiyo ndio inaitwa fanya wema nenda zako usingoje shukurani Sheikh othman ameacha kazi zake makaazi yake wanafunzi wake na watu wake wa karibu lkn kwa kuambiwa ukweli tu serekali imeamua kumtimua
Wingi wa miaka siyo hoja, hoja ya msingi ni kuwa siyo RAIA!Huyu sheikh ni raia wa kenya lakin ameishi zanzibar zaidi ya miaka 20
Ccm imefanyaje. Hata ukijamba utasema ni ccmCCM ni chama cha ajabu sana !
Kapewa uraia wa China.ametimliwa kwenda wapi!