Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Wingi wa miaka siyo hoja, hoja ya msingi ni kuwa siyo RAIA!
Akatetee RAIA wa nchini kwake,!
Mzaliwa wa kenya lakini ni mtanzania na mzanzibari ....
hizi ndoto zina balaa Lema aliota ndoto akalazwa jela miezi 5..huyu naye kafukuzwa
 
Ndoto vitu vya kufikilika ndiyo anavipelekea serikali !?

Yaani gulagula sana ninyi Haaa haaa Haaa haaa Kamuulize Lema na Bushiri nabii uchwara!

Hata vyura nao huwa wanaota kuwa mvua itanyesha bahati mbaya hainyeshi.

Angalizo, ukiota ndoto usiipeleke kwenye vyombo vya habari ipeleke Kwa mhusika mwenyewe.

Tatizo , wengi wanatangaza kwenye majukwaa na dini zao uchwara kuwa wameota na kuonesha serikali kuwa ni wapuuzi au hawafanyi kazi vizuri.

By the way, huyo ni raia wa Kenya.
Yaani ni, sawa na mpuuzi mmoja kutoka Malawi anaishi sauzi na ameweka huduma hapo Tanzania anayejiita Bushiri alikuja na mbwembwe kama izo hizo, hadi sasa kwisha habari yake hutamsikia tena akitoa nabii / ndoto uchwara zake hizo.

Mbona, dini zingine hazijalalamika kwa issues ya Bushiri japo ni Kama iyo hiyo ila dini uchwara tofauti !?

Enyi dini ya Mwarabu acheni upoyoyo na porojo za kitoto, na kujilizaliza kama Wajinga na kutafuta huruma za kijingajinga.

Mfano, dini kama RC church, sadaka zinakusanywa eti kutoka Tanzania, zinapelekwa Kwa Papa Vatican city kwa ajili ya kuendesha Vatican city na Papa kula kana kwamba wao hawana jinsi ya kutafuta hela na kufanya kazi zingine za wanadamu za kujiingizia kipato!.

Laiti ningekuwa rais ningefutilia mbali huu upuuzi wa wazungu koko na warabu pori kuwa ni dini.
 
kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
Hahahaha teh teh teh teh teh teh
 
Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim

*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*

Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2

Licha ya kuwa sheikh othman maalim akifanya kazi zenu zote za kisiasa na akikutumikieni hadi kwenye matangazo ya vyandarua lakini hiyo ndio inaitwa fanya wema nenda zako usingoje shukurani Sheikh othman ameacha kazi zake makaazi yake wanafunzi wake na watu wake wa karibu lkn kwa kuambiwa ukweli tu serekali imeamua kumtimua

KwAhiyo ndoto ilikuwa inaendelea kila siku au kila siku inaanza upya na kuisha kisha kesho inaanza tena na kuisha
 
Mada zingine mnazileta humu mnategemea nini kama si matusi na kusemewa vibaya masheikh zetu, sheikh othaman maalim awe mkenya awe mnani hakuna shida uislamu hauna mipaka.Utaifa, ukabila, rangi ni kigezo tu cha wanaadamu kuweza kutambuana sisi kwa sisi kwahyo sheikh hata kama atatatoka nchi gani heshima yake kwenye dini itabaki palepale
 
KwAhiyo ndoto ilikuwa inaendelea kila siku au kila siku inaanza upya na kuisha kisha kesho inaanza tena na kuisha

hahahahhahahahahahaha uwiiiiiiiiiiiii mbav zangu mie jaman mkuu taratibu jaman! yaan nachekaaaa
 
kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂
hahahhaaaaa mi ninaota kua kunajengwa maofisi makubwa makubwa na makampun makubwa alafu kunakua shwaaro kabisa
 
hahahhaaaaa mi ninaota kua kunajengwa maofisi makubwa makubwa na makampun makubwa alafu kunakua shwaaro kabisa

hahaha ofisi za ccm kikanda ZIHAMISHIWE HUKO NA OFISI ZA UVCCM zipelekwe huko!kutakuwa shwari!ikibid hata BUNGE
 
kwahyo aliota tu ndoto akaipeleka kwenye mamlaka husika! duh! kama kila mtu aote ndoto azipeleke serikalini mbn yatakuwa majanga?? maana mie mara nyingi naota watu wakubwa wakubwa wamehamia KIBITI🙂

Akiota lema kamanda, akiota shehe anyamaze, nyie watu ni wapumbavu sana
 
Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim

*_Sababu kuu ya kumfukuza Sheikh othmam maalim ni kutokana na kuelezea ndoto yake ambayo ameiota siku 3 mfululizo ndoto yenyewe inazungumza kwamba anaamriswa sheikh Othman maalim kwenda kuongea na Serekali ya Zanzibar kutolewa kwa masheikh wa wa Zanzibar waliokamatwa bara kama magaidi(uamsho)_*

Siku zote nchi za udictecta kosa kubwa sanna ambalo utakalolifanya ni kuzungumza ukweli tu je ukweli wa Othman maalim ndio uliomponza na hii ni ndoto ambayo ameisimulia tu Au ndo uislam na waislam wake hamuwataki kama hamutaki nchi hii iendelee kwa dini ndio maana munatafuta kila vyanzo vya sababu kuwakamata na kuwa fukuza masheikh wetu basi tuuweni sote Wazanzibar kwani hadi sasa waislam wa Zanzibar ni asilimia 99.2

Licha ya kuwa sheikh othman maalim akifanya kazi zenu zote za kisiasa na akikutumikieni hadi kwenye matangazo ya vyandarua lakini hiyo ndio inaitwa fanya wema nenda zako usingoje shukurani Sheikh othman ameacha kazi zake makaazi yake wanafunzi wake na watu wake wa karibu lkn kwa kuambiwa ukweli tu serekali imeamua kumtimua
Huyo sheikh kama sio mnafiki nini ,wacha akamatwe ,toka lini tukaongozwa na ndoto dunia hii ya leo,kwani yeye kawa mtume?wacha akamatwe hawa ndio walewale .
 
Hivi ndio kitu kinachoitwa Ugaidi kinatengenezwa,kwani sheikh ana wanafunzi,wapenzi,ndugu na jamii ya hasa ndugu zake katka imani tutarajie nn hao watafurahia udhalilishaji huo?nchi inakwenda kibaya sana
Mambo yenu yaishie hukohuko tafadhali watu tumeshatandika ulanzi wetu tunasubiri Noah hapa maswala ya Sheikh cjui ndugu katika imaan yaishie hukohuko hapa ni ndugu katika makinikia upo Sheikh?
 
Sababu zipo nyingi ,lakini sijui ni kujiamini sana au kujisahau pia inachangia znz anaijua vyema na kafanya kwa kujua.pengine ndo mlango wa kwendea soud huo....angalia alivyokuja na sasa...anajua anachotaka yule.
 
Back
Top Bottom